Mh.Joseph Mbilinyi a.k.a SUGU Mjengoni Dodoma akiapa!!!!!!!!!!!!!!!!!

Anti virus imeingia mjengoni,virus wote kimyaaaaaaaaa,we need serioussl pipo like Sugu.
Tunakujua backgroound yako so tunaamini you will not let us down. ni aluta continue mapambano ya street sasa bungeni,wanahonga mademu vitara mbolea bei juu.
 


YAANI NAKUMBUKA ILE SIKU ILIYOKUWA USAFIRI UENDE MBEYA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA NDO HIYO HIYO SIKU ULITAKIWA UENDE MAKAO MAKUU YA POLISI HAPA DAR KUTOA MAELEZO YA KUTISHIA KUMUUA RUGE WA CLOUDS KTK WIMBO WAKO WWA ANTI VIRUS.. I WANNA KILL RIGHT NOW.......TEHE, ILA MWISHO WA SKU MSHINDI UNAAPA BUNGENI LEO.......WISH YOU ALL THE BEST MAN...
 
Mkuu very sory ila hii AVATARA yako inanichefua sana nikimwona huyu bwana wa vijicent!
 
Jamaa kaptia Thug life.....hawezi shindwa life easy la mjengoni...besides he was born to talk......So he will talk on our behalf........
 
Hivi clauds FM, watakoma na HAIBU YAO,
Sio Clouds kwa Ujumla wake...yeye hana beef na mmiliki wa Clouds ila wafanyakazi wa clouds esp. Ruge......Ila kuna wimbo flani aliimba hivi "Kuna kitu kimoja ambacho watu hajajua, Huwezi kuzuia mvua, Sugu ni kama mvua kama kunyesha nanyesha......."
 
mkuu nakubaliana na wewe! jamaa hafai kabisa hata uelewa wake ni mdogo yule meya!
 
Sugu alinifurahisha sana alipohojiwa na mwandishi wa habari mmoja.
Aliulizwa kwa hiyo na wewe utakuwa Mbunge wa Mbeya Mjini huku unaishi Dar es salaam?
Akajibu, Dar es Salaam kitu gani kwangu? Nimetokea Marekani kuja kugombea ubunge Mbeya, sitaishi dar wa USA nitaishi Mwanjelwa
 
Oh!wakilisha mtu wangu!CHADEMA hakuna ubaguzi mtu yoyote anaweza kugombea cheo chochote kupitia chama hiki!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…