Mh. Kigwangala amechokonoa yanayonyamaziwa, bila umakini kuna siku Mo atasema Simba SC ni mali yangu na tutakuwa tumechelewa

This is...

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
5,050
Reaction score
5,204
Kwa kifupi sana ,niende kwa mada, Mimi namkubali Mh. Kigwa na kwa hili la Mo na Simba SC na bilioni zetu 20, kuna mambo ambayo ukimsikiza Mo ktk interview zake utagundua kwamba hapendi kuhojiwa kuhusu mzigo wake wa uwekezaji pale simba wa sh.bilioni 20.

Pili, utagundua tayari pale Simba ,Mo ana watu wake tayari aliowatengeneza ili wamsapoti katika kupiga danadana kulipa hizi hela.
Pia uteuzi wa huyu mwanadada, sina shaka na CV yake lakini inaonekana Mo kamweka pale kimkakati sana, kwa maslahi yake binafsi.NA INAONEKANA PIA SENZO ALIONDOKA PALE SIMBA SC KWA MAZINGIRA YALIYOTENGENEZWA ILI MO AWEKE MTU WAKE AMBAYE LAO NI MOJA.Kumbuka huyu mdada alikua msaidizi binafsi wa Mo.

Tunahitaji misingi,taratibu na sheria za uwekezaji wake pale Simba SC zizingatiwe.hatuhitaji hisani ya mtu.Hizo hela anatumia kulipa mishahara na gharama nyingine ziko ktk makubaliano gani.

AU ANATENGENEZA DENI ILI BAADAE ASEME ANAIDAI SIMBA.Hakuna mtu mwenye akili na anawaza vizuri atakubali kwamba kwasababu simba inaenda vizuri basi Mo aachwe tu.

Tusiwe watu wa akili nyepesi kwa mambo complex km haya. ILA SIJUI KWANINI WATZ WENGI TUMEKUWA WATU WA BORA LIENDE. Mambo ni mengi niishie hapa.
 
Huyo unayemwita mheshimiwa,anaheshimiwa na nani? Kila mtu anamwona kilaza na wanashangaa sana alipataje madaraka makubwa namna hiyo!

Kwa akili zako unataka pesa hizo zilipwe wapi? Simba sports club au Simba Company Ltd? Na zikishalipwa nini kinaendelea? Au ndo mnataka mzigawane mpigie kampeni?
 
Kwa akili zako unataka pesa hizo zilipwe wapi?Simba sports club au Simba Company Ltd? Na zikishalipwa nini kinaendelea?Au ndo mnataka mzigawane mpigie kampeni?
hizo hela hata zisiwekwe heri awe analipa mahitaji ya timu na kuweka risiti mezani ,maana hiyo hela ukiwekwa waswahili wanaweza kumtia hata ili wagawane, halafu hii akili gani wanalazimisha mwenye hisa 49 aweke mzigo wote na wenye hisa 51 haijulikani yeye anawekaje hela
 
Sasa wewe Kapuku nenda kwenye Club ukamtoe huyo MO sio kuja hapa kulialia tu.
Hapa hata ulie kiasi gani hakuna wa kukusaidia.

Sisi Simba tumeridhika na MO, wewe na Topolo wenzako mkaribisheni HK utoponi kwenu awape maendeleo muache kuomba.
 
Huyo unayemwita mheshimiwa,anaheshimiwa na nani? Kila mtu anamwona kilaza na wanashangaa sana alipataje madaraka makubwa namna hiyo!

Kwa akili zako unataka pesa hizo zilipwe wapi?Simba sports club au Simba Company Ltd? Na zikishalipwa nini kinaendelea?Au ndo mnataka mzigawane mpigie kampeni?
Anataka ziwekwe akope akanunue Pikipiki kuhonga wajumbe.
 
Huyo unayemwita mheshimiwa,anaheshimiwa na nani? Kila mtu anamwona kilaza na wanashangaa sana alipataje madaraka makubwa namna hiyo!

Kwa akili zako unataka pesa hizo zilipwe wapi?Simba sports club au Simba Company Ltd? Na zikishalipwa nini kinaendelea?Au ndo mnataka mzigawane mpigie kampeni?
Mtu mwenye digree ya udaktari wa darasani toka Muchs hawezi kuwa kilaza,sema matatizo yake halisi ila kwenye ukilaza Kigwangala au Said Bagaile siyo kilaza.
 
Dr Kigwangala yuko sahihi kuhoji..
Nliona kuna jamaa ameandika humu, “Mo kwa Simba ni kama jamaa anataka kuoa binti kutoka familia masikini, mahari hatoi ila anatoa vipesa vya mboga.. ana wa spoil..
 
Kwa kifupi sana ,niende kwa mada, Mimi namkubali Mh. Kigwa na kwa hili la Mo na Simba SC na bilioni zetu 20, kuna mambo ambayo ukimsikiza Mo ktk interview zake utagundua kwamba hapendi kuhojiwa kuhusu mzigo wake wa uwekezaji pale simba wa sh.bilioni 20.

Pili, utagundua tayari pale Simba ,Mo ana watu wake tayari aliowatengeneza ili wamsapoti katika kupiga danadana kulipa hizi hela.
Pia uteuzi wa huyu mwanadada, sina shaka na CV yake lakini inaonekana Mo kamweka pale kimkakati sana, kwa maslahi yake binafsi.NA INAONEKANA PIA SENZO ALIONDOKA PALE SIMBA SC KWA MAZINGIRA YALIYOTENGENEZWA ILI MO AWEKE MTU WAKE AMBAYE LAO NI MOJA.Kumbuka huyu mdada alikua msaidizi binafsi wa Mo.

Tunahitaji misingi,taratibu na sheria za uwekezaji wake pale Simba SC zizingatiwe.hatuhitaji hisani ya mtu.Hizo hela anatumia kulipa mishahara na gharama nyingine ziko ktk makubaliano gani.

AU ANATENGENEZA DENI ILI BAADAE ASEME ANAIDAI SIMBA.Hakuna mtu mwenye akili na anawaza vizuri atakubali kwamba kwasababu simba inaenda vizuri basi Mo aachwe tu.

Tusiwe watu wa akili nyepesi kwa mambo complex km haya. ILA SIJUI KWANINI WATZ WENGI TUMEKUWA WATU WA BORA LIENDE. Mambo ni mengi niishie hapa.
Du ila ukitaka kuwaudhi Mashabiki wa Simba wakumbushie habari ya MO kutoa bilioni 20. Yaani watakupa majina yote mabaya. Tukirudi kwenye mada, MO aliahidi kutoa bilioni 20 kwenye kipindi kipi cha uendeshaji wa timu? Labda hapo tutapata majawabu!
 
Ambacho ni kweli ni kuwa wa Tz wengi dont research au look for facts kutoka credible sources bali kama wewe, mnadandia issue na kugeuza upupu wenu kuwa facts.

Kwani mchakato umekamilika ?
Kila siku mnaambiwa kuna vitu bado. Je unajua transformation team imeundwa na watu wa serikali pia, idara husika pia.

Huyo HK kilaza mwenzio anajua yote haya, lkn njaa zake tu ndo kutafuta kiki... !
Kusema sijui ana watu wake, au huyo CEO ambaye TOR alizopewa hakutekeleza lkn eti anataka kila team ikipewa bonus na yeye apewe...ulofa huo nani atakubali !!
Tuacheni na team yetu, tupo makini sana !!

Kwa kifupi sana ,niende kwa mada, Mimi namkubali Mh. Kigwa na kwa hili la Mo na Simba SC na bilioni zetu 20, kuna mambo ambayo ukimsikiza Mo ktk interview zake utagundua kwamba hapendi kuhojiwa kuhusu mzigo wake wa uwekezaji pale simba wa sh.bilioni 20.

Pili, utagundua tayari pale Simba ,Mo ana watu wake tayari aliowatengeneza ili wamsapoti katika kupiga danadana kulipa hizi hela.
Pia uteuzi wa huyu mwanadada, sina shaka na CV yake lakini inaonekana Mo kamweka pale kimkakati sana, kwa maslahi yake binafsi.NA INAONEKANA PIA SENZO ALIONDOKA PALE SIMBA SC KWA MAZINGIRA YALIYOTENGENEZWA ILI MO AWEKE MTU WAKE AMBAYE LAO NI MOJA.Kumbuka huyu mdada alikua msaidizi binafsi wa Mo.

Tunahitaji misingi,taratibu na sheria za uwekezaji wake pale Simba SC zizingatiwe.hatuhitaji hisani ya mtu.Hizo hela anatumia kulipa mishahara na gharama nyingine ziko ktk makubaliano gani.

AU ANATENGENEZA DENI ILI BAADAE ASEME ANAIDAI SIMBA.Hakuna mtu mwenye akili na anawaza vizuri atakubali kwamba kwasababu simba inaenda vizuri basi Mo aachwe tu.

Tusiwe watu wa akili nyepesi kwa mambo complex km haya. ILA SIJUI KWANINI WATZ WENGI TUMEKUWA WATU WA BORA LIENDE. Mambo ni mengi niishie hapa.
 
Huyo unayemwita mheshimiwa,anaheshimiwa na nani? Kila mtu anamwona kilaza na wanashangaa sana alipataje madaraka makubwa namna hiyo!

Kwa akili zako unataka pesa hizo zilipwe wapi? Simba sports club au Simba Company Ltd? Na zikishalipwa nini kinaendelea? Au ndo mnataka mzigawane mpigie kampeni?
na kweli wajumbe hawana maana na ndo hao kina waziri wankuja kuaribu mpira mbeleni huko kwa kuwa wanazingua sana
 
haya maneno maneno ndo yalkimtoaga manji yanga angalia mpaka leo hii yanga inahangaika tu na vikapu basi lakini tungempa timu manji tungekuwa mbali sana ila ujeuri na kukosa akili ndo kinatufikisha kwenye mabakuri
 
Mashabiki wa Simba wameridhika kabisa na kila kitu kinavyoenda. Utopolo wamekuwa mahiri sana kujenga hoja dhidi ya Mo, hoja ambazo ni dhahiri wanataka ziitikise Simba.
Uto hawajui kiundani hasa nini kinachoendelea pale Msimbazi zaidi ya kudandia hoja ya mwanataarabu hk.

Sijui kama wamewai kujiuliza iwapo wamiliki wa hisa 51% wameshatoa kiasi gani.
Utopolo waachieni Simba wenye Simba yao.
 
MO ameshasema wazi kupitia Wasafi FM na dunia nzima imesikia kuwa anatoa zaidi ya billion 3 kila mwaka kwa mwaka wa pili sasa kuiendesha timu na hatadai popote hata akiondoka Simba leo. Na wala hizo billion 3 sio sehemu ya hizo billion 20 anazotakiwa kulipa Simba mchakato ukikamilika ndani ya miezi mitatu ijayo. Na miezi mitatu iliyobaki inaisha kabla ya disemba mwaka huu. Kama alikuwa anasema kweli au ni uongo itajulikana kabla ya disemba.
 
Hivi mnavyo wakejeri wawekezaji wa mpira kwa kiasi hiki mnataka mpira wetu uendeshweje ?
Hamwoni kuwa mnawakatisha tamaa wenye nia ya kuwekeza katika mpira wa Tanzania ?

Hata kama mwekezaji anakosea basi aulizwe kwa staha.
Kuuliza kwa kejeri, dharau, vijembe, na hata matusi ndivyo mnavyotaka ?
Mbona wawekezaji wa maeneo mengine hamuwa ulizi kwa mtindo huu.

MO katika mpango wa kuwekeza Simba amefuata taratibu zote na akapewa baraka na Serikali.
Hizi chuki zinatoka wapi ?

Kwanza MO hata akiweka hapo hiyo B20 bado inakuwa pesa yake tu.
Na anaweza kuiondoa kama hataridhishwa na uendeshwaji wa timu au vinginevyo, au akamwuzia mtu mwingine.
Mnataka kila mtu akiwa na dukuduku mda wowote kuhusu Simba basi amuulize MO popote na MO lazima awajibu wote wanaouliza kwenye Instagramu, Facebook, twitter, na popote pengine.
Viongozi wa Simba wapo, vikao vipo nashangaa huko hamwendi mnataka mjibiwe kwenye mitandao.
Wana michezo wanajua jinsi timu za ulaya kama Manchester United na City, na Chelsea, zinavyoendeshwa na wawekezaji tena watu binafsi.
Jifunzeni kuheshimu wawekezaji, hata kama mtu mmoja au kikundi hakitaki.
MO toka aingie Simba maelfu ya Watanzania wamepata Ajira. Na wanaendelea kuajiriwa kadri Simba inavyo kua.
Kila siku mnalialia humu kuwa nchi haina ajira hasa kwa vijana.
MO kaongeza fulsa ya ajira mnaishia kumtukana, au kumshangila anayemtukana wakati mamia ya watoto wenu wameajiriwa naye.
Kwanini hamwezi kumwelekeza kwa staha pale anapo kosea.
Afrika inakuwa nyuma ktk maendeleo kwa mambo kama haya.
Inavyo itwa Dark- Continent, Shit-Hole. Vinaangaliwa vitu kama hivi.
Poleni sana.
 
Umesema brother.

Mfano mdogo.

MO, ameajiri wasichana thelasini (30) wanaocheza mpira yaani Simba Qeens.
Mwaka huu mwanzoni akawasafisha pamoja na benchi la ufundi wanafika 40.
Wakazitembelea nchi tatu za Ulaya, Spain, Germany, Holland.
Yaani miezi mitatu dada zetu wanazunguka na ndege nchi za Ulaya huku wakilipwa per day.

Dada zetu wamepata ajira, wameokolewa kufanya Umalaya.
Leo anatokea mjinga mmoja anamtukana MO na watu wanashangilia.

Hiyo ni Simba Qeens tu. Kuna Simba ya wakubwa, kuna Simba ya vijana, kuna viongozi wa Simba, kuna wafanyakazi wa viwanja vya MO Arena. nk

Huyo anaye mkejeri MO Dewji ame waajiri Watanzania wangapi ?

Halafu ni mtu aliye ajiriwa wa kutegemea mshahara.
Watanzania ninyi ni Maskini na hakika mtakufa kwenye Umaskini wenu

Mimi nalipwa Dolla na nina heshima, sembuse ninyi wa madafu.

Mtu anayeshindwa kutofautisha kati ya neno Will na Shall...!
Ni kwamba tunamchora tu.

You Shall Die
I Will go
Ya kwanza ni amri ya kuitekeleza na ni lazima itekelezwe. Ina amriwa mahakamani tu. Au Kauli ya Mwenyezi Mungu.
Shall haitamkwi na wajinga wajinga

ya pili ni hiari inaweza kuhairishwa na ndio tunayoitumia sisi tusio na mamlaka, wa kuandika hadithi. Waelewa wame elewa.

Hakika you shall die in your poverty. If you remain ignorant.
You ignoramus, You Nincompoops
 
MO, tunakuomba radhi, sana, sana, sana, sana, hatuijui tulitendalo.
MO, unanukuu maandishi ya kwenye Biblia na Qurani.
MO unapenda watu, MO kuna watu wameitwa Manyani, Mbwa. Juzijuzi tu. Na kwa upendo wetu tumemsamehe.
MO usitetereke, kama Mtume Muhammadi na Yesu Kristo hawa kutetereka licha ya kutukanwa, kupigwa, na kunajisiwa.

Sisi walalahoi tunakutegemea sana MO Dewji. Hao akina Kipisi, ni kwamba wana uwezo wa kulishwa na kushibishwa tu.
Sisi wa kima cha chini tunamjua mwajiri wetu.

Ukiwa unafanya kazi MO Dewji, usiwaangalie, walio ajiriwa.
Tuangalie sisi tusio na ajiriwa. Na ndio tulio wengi.
Mungu atakubariki sana na umeisha barikiwa.
Nashangaa kiongozi mkuu anapost ujinga, kwamba kwamba kwamba.
Kwakuwa sisi tulio wengi tumekukubali, usihofu tutakulinda na maombi yetu.

You Shall be Protected.
From the Humble Genious
 
Back
Top Bottom