Mh Kubenea Kuuguruma Manzese , Aliwahi kutahadharisha kuhusu ndege yetu kukamamatwa na imekamatwa kweli

acha jazba,
mtaambia nini watu kuhusu ndege iliyotekwa kwasababu ya madeni mliyosababisha??

Round hii mtampiga nani risasi??


Umefurahia sana ndege yetu kushikwa, kana kwamba utapandishwa daraja kuwa high Mangi kama Mbowe, utasubiri sana, hiyo nafasi ulio nayo ndiyo hiyo hiyo.
 
Chuki itakusaidia nini, vitu vingine sio lazima useme hadharani
Huyu 2020 hapiti.
Sisi ndio tulimchagua 2015 kwasababu ya kuipenda chadema, lakini tumegundua jamaa hafai .
Mbona jimbo la jirani la segerea tunamuona bonnah anashughulika na changamoto jimboni kwake lakini kubenea hajawahi kuja haswa kata ya kimara.Tatizo lenu mkiambiwa ukweli mnasema Chuki
 
Mkuu hao ni kama kundi LA fungo walioshiba na kuvimbiwa.
Fungo akishiba ni usingizi mzito hata umstue haamki. Waweza kumkata hata mkia anaota kuwa kama anakatwa mkia
 

Sawa nimekuelewa ila wewe si Mwanachadema
 
Kwa hiyo Mheshimiwa Kubenea ndio amepata mahali pa kutokea, siasa bwana.

Inadaiwa serikali ya Russia na ile ya USA sembuse shirika la ndege ambalo lipo katika michakato ya kujiimarisha kimataifa!.
 
Huyu huyu mheshimiwa ndiye aliyesema eti ndege zilizoletwa na mbovu ndio maana zilimwagiwa maji zilipowasili.

Hajui maana ya water salute, na akawapata wajinga wengi tu mitandaoni.
 
Huyu huyu mheshimiwa ndiye aliyesema eti ndege zilizoletwa na mbovu ndio maana zilimwagiwa maji zilipowasili.

Hajui maana ya water salute, na akawapata wajinga wengi tu mitandaoni.
wewe ndio hukuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…