Kushiriki kwa maana ya kuchagua lakini anaruhusiwa kushiriki kama mgombea!!Nimesoma hii kipande nkaona ni vyema tuwekane sawa
kwenye gazeti la mwananchi wanasema mh lema amefungiwa miaka 5 kushiriki uchaguzi wowote
sasa kama hivi nahisi wakati muafaka wa kukimbilia rufaa na kuacha wenye vichwa vyao kuwafundisha hawa washenzi mahakimu...naombeni wenye kuelewa hili mtuelekeze
tafadhali