Tetesi: Mh Lwakatare bila stendi mpya,soko ,na upanuaji Wa barabara za Bukoba 2020 usitegemee kurudi Dodoma.

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Posts
12,037
Reaction score
17,212
Kusema ukweli kwa sasa kila mtaa Wa mji huu maarufu nchi kila mtu yupo ana nongona kuhusu stendi,barabara, na soko kulikoni mbona havifanyiwi kazi? Nakuomba sana mh na ukawa kwa ujamula kama mlivyofanya miji ya arusha na iringa please tunaomba matatizo haya yafanyiwe kazi vinginevyo jimbo litarudi CCM 2020 kwa hali ya sasa bora CCM mbona walau walijenga baadhi ya barabara na airport nyinyi ukawa hamjafanya kitu.kweli mtakuwa waongo
 
barabara zinatia kinyaa huwezi jua kama mji huu unakaliwa na watu zaidi ya laki mbili au elfu kumi serikali na huu mji kuna watu
 
Kwani Mbunge ndio analeta hizo barabara? Au ni serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…