Habari wana JF,
Kwa kashfa ambayo Mh rais wa TFF Bw. Jamal Malinzi nadhani ni busara sana kwake kukaa pembeni kwa kutangaza kujiuzuru nafas yake.
Hii itaendelea kulinda heshima yake na huku akiacha uchunguzi wa kesi yake ukiendelea.
Binafsi nasubiri kwa hamu kusikia tamko na barua kutoka kwake ili jamii iendelee kumuheshimu na kueleweka sana.
Ni mawazo tu