Mh Malinzi anajiuzulu lini?

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
2,902
Reaction score
1,875
Habari wana JF,

Kwa kashfa ambayo Mh rais wa TFF Bw. Jamal Malinzi nadhani ni busara sana kwake kukaa pembeni kwa kutangaza kujiuzuru nafas yake.

Hii itaendelea kulinda heshima yake na huku akiacha uchunguzi wa kesi yake ukiendelea.

Binafsi nasubiri kwa hamu kusikia tamko na barua kutoka kwake ili jamii iendelee kumuheshimu na kueleweka sana.

Ni mawazo tu
 
sasa hapo atakuwa analinda heshima gani..?
Au tafsir ya heshima siku hizi imekuwa tofaut..?
Malinzi hafai hata kukanyaga uwanja wa Taifa kuja kuangalia mechi yoyote
Malinzi anapaswa akae huko huko Segerea
 
Hivi si ameshang'atuka..kakubali kuwajibika tayari nasikia
 
sasa hapo atakuwa analinda heshima gani..?
Au tafsir ya heshima siku hizi imekuwa tofaut..?
Malinzi hafai hata kukanyaga uwanja wa Taifa kuja kuangalia mechi yoyote
Malinzi anapaswa akae huko huko Segerea
Life sentence apewe??
 
Amepitishwa kugombea tena
 
Kwani uchaguzi mkuu wa 2015 Bw.Malinzi alikuwa upande gani vilee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…