Bagenda hafai hakika -- ni kuwadi wa kutupa, ni kama vile Muhingo Rweyemamu wa magazeti ya habari Corporation ya Rostam, ingawa huyu anafanya ukuwadi wake kiakili zaidi. lakini wote ni supporters wakubwa wa mafisadi.
Hilo gazeti analolihariri ni la Karamagi, fisadi aliyethibitika, sasa Bagenda ataandika nini?
Ila inashangaza kuwa sasa hivi kaanza kumpigia debe Tibaigana ambaye ameonyesha dhamira kuligombea jimbo hilo. Tibaigana alikuwa afisa wa polisi wa cheo cha juu na RPC wa Dsm na kwa dhamira yake hiyo, ni dhahiri alikuwa anaudanganya umma kwamba yeye hana chama wakati huku akituma vikosi kuwapa kipondo waandamanaji wa vyama vya upinzani. Kumbe ni kada wa CCM! Aliingia lini CCM -- mwaka huu?
Tibaigana atapata shida sana kulitwaa jimbo hilo hasa akimpata mpinzani machachari mwenye data za madhambi yake alipokuwa bosi wa mapolisi hapa Dar. TUSUBIRI!
Ama kweli, hapa naomba kuuliza, nasikia huyu Tibaigana ana resort pale Mkuranga na nasikia (mimi hupita njia kwa nje sijaiingia kuiona ilivyo ndani) ilivyo ni ya kiwango cha zaidi ya mishahara yake yote ya upolisi uchanganye na marupurupu yake na viinuwa mgongo vyake vyote havitotosha thamani ya hiyo resort, nasikia ina ukubwa wa kijiji kizima, Jee ni kweli haya jamani? kama kweli, hiyo mifedha yote aliitowa wapi? au alikuwa akifanya uZombe na ufisadi alipokuwa polisi?
Enzi za Tibaigana na Mahita ndio majambazi walitamba,ni mtu wa fisadi EL kwa hiyo mtoto wa fisadi ni fisadi tu.Bagenda huyu anatumiwa na mafisadi akina Karamagi na EL,Bagenda asipochunga uandishi wake atakumbwa na kesi nyingi za kashfa.Ama kweli, hapa naomba kuuliza, nasikia huyu Tibaigana ana resort pale Mkuranga na nasikia (mimi hupita njia kwa nje sijaiingia kuiona ilivyo ndani) ilivyo ni ya kiwango cha zaidi ya mishahara yake yote ya upolisi uchanganye na marupurupu yake na viinuwa mgongo vyake vyote havitotosha thamani ya hiyo resort, nasikia ina ukubwa wa kijiji kizima, Jee ni kweli haya jamani? kama kweli, hiyo mifedha yote aliitowa wapi? au alikuwa akifanya uZombe na ufisadi alipokuwa polisi?