Mh Mbowe kuendelea na mikutano yake Jimbo la Hai

Sasa kama hana watu kwa nini msimuache ahutubie majani,kama hana watu polisi wanamsumbua wa nini,unaweza ukamsumbua mtu ambae hana impact yeyote.
Mikutano hii haina postive impact kwake kwa sasa,angalia anavyopuuzwa,watu hakuna kabisa,mpaka muedit picha, hapa namuangalia live youtube ana watu kumi tu. Kwisha habari yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapokee hizo pesa kwanza ni kodi za Watanzania
 
February 29, 2020
Hai, Kilimanjaro
Tanzania

Mwl Nyerere alizungumzia Huru, Maendeleo na Haki ( Freedom, Development and Justice) - Freeman Mbowe

Ulipo Mwenyekiti Chadema tupo, nadhani tukio lililolaaniwa na waTanzania kuhusu Polisi kutumika kunyanyasa upinzani jana halitatokea tena .
 
February 28, 2020
Mh. George Simbachawene waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Tanzania awaasa Polisi na Kamati za ulinzi na usalama za wilaya na mikoa zilizo chini ya maDC na maRC


Source: ABC Habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…