Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
Great Thinkers,
Nawaza waza, kwa jinsi vikundi vya wapinzani walivyoshindwa kuiyumbisha Tanzania chini ya Jemedari mahiri na makini, mcha Mungu Dkt Magufuli ninaona kabisa Mh. Mbowe akipiga goti kuomba msamaha kwa watanzania na kwa taasisi ya Rais.
Je, akipiga goti na kutubu nyie mashabiki wake mtamtukana kuwa kanunuliwa? Au mtampongeza? Na je mtameza matapishi yenu yote ambayo mmekuwa mkibeza na kutukuana kutwa nzima taasisi ya urais?
Ni hayo tu, stay tuned, Mh. Mbowe very soon anamwaga manyanga!