Mh. Mbowe kuomba msamaha kwa Watanzania

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
10,771
Reaction score
14,129
Great Thinkers,

Nawaza waza, kwa jinsi vikundi vya wapinzani walivyoshindwa kuiyumbisha Tanzania chini ya Jemedari mahiri na makini, mcha Mungu Dkt Magufuli ninaona kabisa Mh. Mbowe akipiga goti kuomba msamaha kwa watanzania na kwa taasisi ya Rais.

Je, akipiga goti na kutubu nyie mashabiki wake mtamtukana kuwa kanunuliwa? Au mtampongeza? Na je mtameza matapishi yenu yote ambayo mmekuwa mkibeza na kutukuana kutwa nzima taasisi ya urais?

Ni hayo tu, stay tuned, Mh. Mbowe very soon anamwaga manyanga!
 
Sijui Mbowe alikukula akakutosa?

Umeshika kinyongo mpaka leo!

Buahahaaaa,who cares!
 
Reactions: Pep
Kama kuna jambo la msingi na la muhimu kuiokoa cdm kwa sasa,ni kupiga goti na kuomba msamaha kwa usaliti alioufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wawili hakika wanatakiwa kupiga goti kwa watanzania kwa kuchukulia poa hili gonjwa najua unawajua, unataka kuwajua zaidi?
1..... Tz
2.... Dsm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tutamuelewa. Kutubu kukosa na luomba msamaha ni kitendo cha kishujaa.. aombe tu msamaha kwa watanzania. Hata chadema labda itaweza kurudisha imani kidogo kwa wachache!
 
Kuna watu wawili hakika wanatakiwa kupiga goti kwa watanzania kwa kuchukulia poa hili gonjwa najua unawajua, unataka kuwajua zaidi?
1..... Tz
2.... Dsm

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa lipi?
tundu lissu awe namba moja na kamanda mbowe namba mbili, laa sivyo dhambo zao za usaliti zitawatafuna EACH AND EVERY LAST PART OF THEM mpaka mwisho.
 
Kipi chenye faida kufika bei au kupiga goti
 

Hivi mbona wewe kigagula, mbowe amekuganda sana kichwani mwako..!?
Bila shaka itakuwa alikukaza kisawasawa kwa kukushikisha ukuta, then akukubwaga!



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Upuuzi mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…