Mh Mbowe kuongoza chama leo, KUTOA MSIMAMO WA CHAMA KUHUSU RASIMU YA KATIBA MPYA

Mh Mbowe kuongoza chama leo, KUTOA MSIMAMO WA CHAMA KUHUSU RASIMU YA KATIBA MPYA

Sitachoka

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,030
Reaction score
1,306
Msimamo wetu kuhusu rasimu ya katiba mpya na mustakabali wa taifa utatolewa leo Jumamosi ya Julai 13, 2013 kwenye mkutano wa hadhara katika viwanja vya Shule ya Ukombozi-Manzese kuanzia saa 8 mchana.


Hotuba zitatolewa na viongozi mbalimbali wakiwemo Dr.W.Slaa, F. Mbowe, T.Lissu, M.Marando, J. Mnyika
Wananchi wote mnakaribishwa. Njoo
wewe, njoo na yule! Mabadiliko ya Kweli, Uhuru wa Kweli! Muhimu: Shule ipo jirani na Manzese
TipTop. Maelekezo wasiliana na: M/Kt wa Kata ya Manzese Ali Makwilo 0784-691449 au 0715-691449 au 0769-658593
 
Good, masuala ya ulinzi ktk viwanja hivyo yapewe kipaumbele pia.
Savimbi hayupo,yuko Ara Chuga anagawa mishiko ya uchaguzi kama kawaida,kwani red guard si wameshaanza mafunzo ya JUDO na TAEKONDO?
Muombe mungu kwa kila jambo,naamini mkutano unaweza ukawa salama.
 
Back
Top Bottom