Msimamo wetu kuhusu rasimu ya katiba mpya na mustakabali wa taifa utatolewa leo Jumamosi ya Julai 13, 2013 kwenye mkutano wa hadhara katika viwanja vya Shule ya Ukombozi-Manzese kuanzia saa 8 mchana.
Hotuba zitatolewa na viongozi mbalimbali wakiwemo Dr.W.Slaa, F. Mbowe, T.Lissu, M.Marando, J. Mnyika
Wananchi wote mnakaribishwa. Njoo
wewe, njoo na yule! Mabadiliko ya Kweli, Uhuru wa Kweli! Muhimu: Shule ipo jirani na Manzese
TipTop. Maelekezo wasiliana na: M/Kt wa Kata ya Manzese Ali Makwilo 0784-691449 au 0715-691449 au 0769-658593