Kwahiyo tutaendelea kusubiri tu kwakuwa tumezoea kusubiri? Sasa tunataka mabadiliko ya nini?Tumesubili miaka 50 bila maendeleo itakuwa miezi 6, tumia akili hiyo hiyo kuiuliza serikali ya Magamba juu ya ahadi zao zipo hapo juu zimewekwa na masa...
Masa inamaana kama jamaa hajatekeleza ahadi zake basi na wengine wafanye hivyohivyo, kweli, sasa mabadiliko gani mnayopigia kelele kila siku?.
Tumesubili miaka 50 bila maendeleo itakuwa miezi 6, tumia akili hiyo hiyo kuiuliza serikali ya Magamba juu ya ahadi zao zipo hapo juu zimewekwa na masa...
Ndio maana hawakumchagua kwa kuwa hakufanya kitu.Rita Mlaki alifanya nini? Miaka 5 aliyokaa pale
kwani pesa za kutengenezea barabara zinatoka wapi? zinatoka kwenye pochi ya Mdee? hujasikia serikali kufilisika na kukopa mishahara?
Rita Mlaki alifanya nini? Miaka 5 aliyokaa pale
Tuwaunge mkono CHADEMA tuwaondoe hawa Magamba halafu tuhoji vitu kama hivi vinginevyo itakuwa ngumu sana.Masa inamaana kama jamaa hajatekeleza ahadi zake basi na wengine wafanye hivyohivyo, kweli, sasa mabadiliko gani mnayopigia kelele kila siku?.
kwani pesa za kutengenezea barabara zinatoka wapi? zinatoka kwenye pochi ya Mdee? hujasikia serikali kufilisika na kukopa mishahara?
Tunasikitishwa sana na style ya uongozi ya Mh. Mdee ( Mbunge wa kawe). Wakati anaomba kura alikuwa mnyenyekevu ila baada ya kupata ubunge amekuwa sasa malkia kwa wananchi wake badala ya kuwatumikia kama alivyo ahidi. Nakumbuka moja ya ahadi zake wakati wa kampeni ni kutengeneza barabara ya msasani ambayo ina anzia hapa Tanesco na kuzunguka eneo la msasani kwa mamwinyi ndani ya miezi mine. Ila mpaka sasa hakuna lolote na barabara ile inazidi kuharibika. Sasa Mh. Mdee mbona umeahidi kitu ambacho hukiwezi ? sie tulikuchagua ututumikie sisi au ufanye u sista duu wako ?. Tafadhali acha huo utoto wako na tekeleza ahadi zako, hatukuelewi badala ya kushughulikia kero zetu wewe kila siku uko kwenye maandamano ya cdm
Tuwaunge mkono CHADEMA tuwaondoe hawa Magamba halafu tuhoji vitu kama hivi vinginevyo itakuwa ngumu sana.
Tunasikitishwa sana na style ya uongozi ya Mh. Mdee ( Mbunge wa kawe). Wakati anaomba kura alikuwa mnyenyekevu ila baada ya kupata ubunge amekuwa sasa malkia kwa wananchi wake badala ya kuwatumikia kama alivyo ahidi. Nakumbuka moja ya ahadi zake wakati wa kampeni ni kutengeneza barabara ya msasani ambayo ina anzia hapa Tanesco na kuzunguka eneo la msasani kwa mamwinyi ndani ya miezi mine. Ila mpaka sasa hakuna lolote na barabara ile inazidi kuharibika. Sasa Mh. Mdee mbona umeahidi kitu ambacho hukiwezi ? sie tulikuchagua ututumikie sisi au ufanye u sista duu wako ?. Tafadhali acha huo utoto wako na tekeleza ahadi zako, hatukuelewi badala ya kushughulikia kero zetu wewe kila siku uko kwenye maandamano ya cdm
Masa inamaana kama jamaa hajatekeleza ahadi zake basi na wengine wafanye hivyohivyo, kweli, sasa mabadiliko gani mnayopigia kelele kila siku?.
Jaribu kupata muda kulewa kidodogo majukumu ya kisiasa na wanasiasa.
mbunge hawezi kiutengezabara bara. Anachoweza kufanya ni kuwafitilia tu wahusika amabayo ni wizara ya Ujenzi au ofisi ya Jiji. na hawa ndo watekelezaji wana wako chini ya Magamaba.........
kwa kero yako nadhani msaidie Halima mdee kuwakaba koo meya wa kinondoni, na kurugenzi wa manispaa.
Vingenevyo kama ni maandamo basi mwambieni Halima mdee kwenye ratiba ya maandamo wananchi wa kawe mnataka muandamane kwa jaili ya kudai bara bara hiyo kwa wahusika. Naamin Halima mdee na CDM watalifanyia kazi . That is all CDM can do.
Tunasikitishwa sana na style ya uongozi ya Mh. Mdee ( Mbunge wa kawe). Wakati anaomba kura alikuwa mnyenyekevu ila baada ya kupata ubunge amekuwa sasa malkia kwa wananchi wake badala ya kuwatumikia kama alivyo ahidi. Nakumbuka moja ya ahadi zake wakati wa kampeni ni kutengeneza barabara ya msasani ambayo ina anzia hapa Tanesco na kuzunguka eneo la msasani kwa mamwinyi ndani ya miezi mine. Ila mpaka sasa hakuna lolote na barabara ile inazidi kuharibika. Sasa Mh. Mdee mbona umeahidi kitu ambacho hukiwezi ? sie tulikuchagua ututumikie sisi au ufanye u sista duu wako ?. Tafadhali acha huo utoto wako na tekeleza ahadi zako, hatukuelewi badala ya kushughulikia kero zetu wewe kila siku uko kwenye maandamano ya cdm
Ha haaaaa.Subiri Flyovers !
Sasa tunaanza kuongea. Yeye anatakiwa awasilishe malalamiko ya wananchi wake juu ya eneo lile. Na hayo mambo ya hawara yake hayatuhusu. Na pia anatakiwa atoe feedback kwa wananchi juu ya matatizo yale. Kama kuna breakdown ya communication inakuwa tatizo
Kwa nn sasa aliomba kura zetu kwa kitu ambacho hakiwezi? tatizo huyu dada u sista duu umemzidi, mwambieni bana sio tunavyotaka atuondolee kero zetu