Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 266
Mkutano unaotegemewa kufanyika hivi karibuni kati ya TFF na ZFA ni wakisiasa na unalenga kumnusuru Waziri wa habari wa TZ mkuchika Bungeni baada ya wabunge wa zenj kukusudia kumkomalia katika bajeti yake. kwanini siku zote hizo asikilize kilio cha Zfa kuhusu kubaguliwa na TFF Hadi hivi sasa anataka kikao kifanyike. hata mwaka jana karibu bajeti kusomwa aliitaka tff kukutana na zfa kutatua mgogoro Hongera hafidh Aly kumbana Tenga na sasa tunataka umbane Mkuchika