peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 May 10, 2024 #1 Kila siku Morris Makoi, uko Jimboni kwa Prof Ndakidemi!! Umesahau kuwa mbunge wako Prof Ndakidemi bafo ni mbunge halali na muda wake bado. Makoi, CCM na vyombo vya usalama wanakuona na wanakusalimia.
Kila siku Morris Makoi, uko Jimboni kwa Prof Ndakidemi!! Umesahau kuwa mbunge wako Prof Ndakidemi bafo ni mbunge halali na muda wake bado. Makoi, CCM na vyombo vya usalama wanakuona na wanakusalimia.