Mhe.Mrema, unatuma sms au
Dah namuona mzee wa Kiraracha akituma msg au akibeep cjui nje ya bunge...Kuna haja ya Mrema kupigwa sopu sopu angalau kaafya karudi na pia pamba za kuingilia bungeni...hii suti dah!
Otherwise namfagilia.
Mi hiyo suti ndo kaniacha hoi...utadhani katibu kata wa Mtogole...ila Mrema huwa amind saana mambo ya pamba...yeye ni mabomu tuu:smile-big:
Mi hiyo suti ndo kaniacha hoi...utadhani katibu kata wa Mtogole...ila Mrema huwa amind saana mambo ya pamba...yeye ni mabomu tuu:smile-big: