Miaka 5 kuanzia sasa hadi 2015 sitegemei kama tutabakiwa na viongozi wengi..Sita shangaa hata wengine wakadondoka na kushindwa kusimama kabisa....Laana za watanzania maskini na wanyonge zitawafuata popote mlipo.
Hata vitabu vya mungu vimeandikwa kila mwenye kutenda dhambi atahukumiwa na hukumu huanzia hapa duniani !!! Mrema alikuwa changamoto kubwa sana katika mageuzi na tulio wengi tulidhani hivyo na kuona mtetezi wetu Mrema yu HAI..Kumbe arawa huyo ni infiltrator mkubwa wa SISIEMU.!! Hivi walisha mfanyia ELIZA Test ?