T Tongue blister JF-Expert Member Joined Jun 19, 2009 Posts 362 Reaction score 11 Nov 16, 2010 #41 Leornado said: Mh hii kali...ina maana Mrema ni mamluki???sasa mbona kachakaa hivyo hizo hela za umamluki anapeleka wapi??maskini usikute anasingiziwa Mzee wa watu. I still admire him, ni kati ya wapinzani mahiri wasioogopa chochote. Click to expand... Mkuu utasoma alama za nyakati tu...!!!!
Leornado said: Mh hii kali...ina maana Mrema ni mamluki???sasa mbona kachakaa hivyo hizo hela za umamluki anapeleka wapi??maskini usikute anasingiziwa Mzee wa watu. I still admire him, ni kati ya wapinzani mahiri wasioogopa chochote. Click to expand... Mkuu utasoma alama za nyakati tu...!!!!
D dora JF-Expert Member Joined Jun 5, 2010 Posts 376 Reaction score 315 Nov 17, 2010 #42 Maskini baba wa watu kajichokeaa, bora alivopata huo ubunge.
Sir John Senior Member Joined Aug 19, 2010 Posts 177 Reaction score 1 Nov 17, 2010 #43 kwani kutuma sms ni vibaya?wabongo acheni hizo,eti mtu akituma sms hana hela kachoka!