Mh.MWAKYEMBE kiboko!TPA watekeleza amri yake

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,508
Reaction score
11,897
TPA wameanza kutekeleza amri ya Mh.Mwakyembe aliyoitoa bungeni hivi karibuni na kuwapa watendaji PTA mpaka tarehe 1 wawe wameanza utaratibu mpya vinginevyo wapeleke barua za kujiuzulu!kuwa mteja akilipa bank asirudi kwenye foleni tena ofisi za TPA,badala yake aende kwenye Delivery kuchukua mzigo.SASA ukilipa CRDB unaenda kuchukua cargo.Bila udikteta vitu haviendi tanzania natumai rais ajaye awe dikteta wa maendeleo!
 
Mwana Bongolala hebu naomba unip info kidogo kuhusu gharama za kulipia bandari yaan ''port charges'' zinalipwa wapi benki au ofisi za bandari. Nijulishe mkuu maana ninamzigo wangu ambao kesho J3 nitaulipia kodi pale TRA then niende nikalipie gharama za bandari, port charges and shipping line. So huo utaratibu mpya ukoje?, jitahid kaka kunijuza tafadhali.
 
Wenzetu mpo sayari gani?maana hiyo kesho ndio leo ambayo ni j'mosi.
Au mimi ndio nimebugi men????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…