Mh mwema tunaomba uzinzi live usiwepo kabisa kesho fiesta kule leaders

Mh mwema tunaomba uzinzi live usiwepo kabisa kesho fiesta kule leaders

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Pengine wengi wanachukia fiesta lakini tatizo halisi si jinsi ilivyo
bali ni ufuska unaotokea kwenye hiyo fiesta ndugu wapendwa nakumbuka mara ya mwisho
nilihudhuria yaani wanawake wanaenda gizani wanafanywa live tena awavai hata chupi na mbaya wanafunzi
wa boarding wanajazana kibao kibao mwisho wa siku tunatengeneza mimba za gizana zisizojulikana na baba zao

je hawa yatima wanaotarajiwa kesho watatunzwa na joseph ,ama ruge mutahaba??
 
Back
Top Bottom