Mh Nape; Mgao wa pesa za CECAFA za kiliqueens uwasimamie sina imani nazo kabisa

Mh Nape; Mgao wa pesa za CECAFA za kiliqueens uwasimamie sina imani nazo kabisa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kama kuna sehemuu unaitaji kusafisha nyota N kutumbuaa MTU wore watakaoshiriki kupiga mgao wa zawadi za cecafa za wanawake

Nawazaa awa watoto Leo wamelalamika wanadai pesa za maandalizi toka mechi NA Zimbabwe hizi za ushindi watapewa kweli

Tunaomba mkono wa Mungu ukuongoze ktk hili
 
Back
Top Bottom