jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,342 Jun 12, 2016 #1 Mh. Nape (pichani) akiwa pamoja na baadhi ya washindi kwenye mashindano ya tennis yaliyofanyika kwenye viwanja vya gymkhana jijini dar es salaam. INAONYESHA DALILI NJEMA KUWA SERIKALI IMEDHAMIRIA KWA DHATI KUINUA MICHEZO.
Mh. Nape (pichani) akiwa pamoja na baadhi ya washindi kwenye mashindano ya tennis yaliyofanyika kwenye viwanja vya gymkhana jijini dar es salaam. INAONYESHA DALILI NJEMA KUWA SERIKALI IMEDHAMIRIA KWA DHATI KUINUA MICHEZO.