Mh. Nape Nnauye atoa medali kwa washindi mashindano ya tennis

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
25,556
Reaction score
25,342
Mh. Nape (pichani) akiwa pamoja na baadhi ya washindi kwenye mashindano ya tennis yaliyofanyika kwenye viwanja vya gymkhana jijini dar es salaam.

INAONYESHA DALILI NJEMA KUWA SERIKALI IMEDHAMIRIA KWA DHATI KUINUA MICHEZO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…