Mh Nape utagombana na mashabiki wa simba na yanga

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
558
kwa kauli ulioitoa tff kwa vilabu vya simba na yanga kwa mfumo wanaohitaji kuutumia ukikebehi na kuudharau na kuiagiza tff iufatilie utaratibu eti wa mikutano na hoja zilizotolewa kwenye mikutano hiyo.

nakutahadharisha tff ni uozo Leo unaagiza hilo cha ajabu sijawahisikia hata siku moja serikali hii kuvisaidia hivi vilabu kwa chochote zaidi ya kuvikamua mapato.

kwa hayo ulioyasema utakorofishana na mashabiki hao wachache wanaofaidika na hivyo vilabu ndio inavyoelekea hawataki mfumo huo na wengi wasionufaika wanautaka mfumo uliopendekezwa.
usije shawishika kwa hao wachache wasiotaka mifumo hiyo kuna klabu moja kuna bodi iulize imefikia wapi wa mpango huo sio uiagize eti tff
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…