Elections 2010 Mh. Philip marmo na dr mary nagu wapumulia mashine mkoa wa manyara

MAMA B

Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
29
Reaction score
0
Wilaya ya mbulu ambako ndio yuko waziri marmo mpaka sasa kati ya kata 32 tayari chadema wana kata 19 mfukoni na ndio tunasubiri huko kwingine!


Upande wa hanang ambako ndio yuko waziri nagu tayari nusu ya kata zote zimeshachukuliwa na mke wa zamani wa slaa kwa chadema ......bado kata za vijijini tunasubili matokea

UPANDE WA RAIS TANZANIA NZIMA SIJUI KAMA JAMAA ATAKUBALI KUACHIA NCHI KAMA AKIPELEKEWA MATOKEO TOFAUTI NA ANACHOTEGEMEA...........IKULU TAMU JAMANI!

source;wadau wa karibu walio huko
 
Nagu akapumzike tuu mama sound sana uyu
 

Kwani huyo mtu yupo chadema, si alichukuliwa na ccm!
 

Kama kweli wananchi wameshaamka kisiasa na kidemokrasia basi Marmo na dada yake Mary hawana budi kupumzishwa. Hawajafanya maendeleo ya maana huko, yaani majimbo yao ni mateso makubwa sana!! Wao wako mjini wanaishi maisha ya raha mustarehe ila wapiga kura hoi, yaani ukiona hizo nyumba zao hali ni mbaya, mtu unatamani banda lako la mifugo Dar ulibebe upeleke huko walale!! For how many years CCM has been into Power lakini hali ya maisha ni duni siku hadi siku?
 
:sad:
 
asante endelea kutujuza upatapo habari zaidi..............................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…