Hivi muanzisha thread, unahisi MAGUFULI atafanyia kazi jungu lako dhidi ya RC MAKONDA?
Mission anayofanya makonda ni maalum kuliweka jiji katika hali ya usmart.
Jiji kwa miaka mingi limekua la mpangilio wa hovyo, omba omba wenye uwezo wa kufanya kazi, biashara holela kwenye mabarabara kiasi hata kuleta kero kwa watumiaji wa barabara, vibaka mwanzo mwisho.
Sasa ni Muda wa jiji kupangika kistarabu.
Siasa uchwra na majungu hayana nafasi tena kwa MAGUFULI ni PERFORMANCE tu.
Pia kumsakama makonda ni kumpandisha rank, kwani mkulu yupo ana watch jinsi dose inavyowaingia