Mh. Prof Muhongo unakumbuka uliwaambia watanzania kuwa bei ya umeme haitapanda kamwe?

Mh. Prof Muhongo unakumbuka uliwaambia watanzania kuwa bei ya umeme haitapanda kamwe?

Mpira wa kona

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2016
Posts
350
Reaction score
338
Hakika nimeshtushwa Na tangazo la Ewura kukubali ombi la Tanesco kupandisha bei ya Umeme Kwa Asilimia 8.5 .Watanzania nadhani mtakubaliana nami kuwa Waziri wa Nishati Na Madini Mh.Sospeter Muhongo aliutangazia umma kupitia Bunge kuwa Itakuwa ni ndoto Umeme kupanda.Je Mh.Muhongo alikuwa anatudanganya Watanzania?
 
Kisome alichosema gwiji la Habari hapa Tanzania, jenerali ulimwengu, utagundua kitu .
 
Itabidi ajiuzulu,,kwa kulidanganya bunge na watanzania
 
Waziri amewasimamisha ewura kupandisha bei ya umeme mpaka hapo serikali itakapopitia ripoti na kujiridhisha.
 

Attachments

  • IMG-20161231-WA0005.jpg
    IMG-20161231-WA0005.jpg
    52.6 KB · Views: 43
Kama ni kweli basi katika jina lake aitwe sosipita mwongo..........................
 
Back
Top Bottom