Mh R Mengi yupo tz?

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2009
Posts
2,653
Reaction score
266
BAADA YA kujitetea mh R.A kwamba sio fisadi na kumta R.M kuwa fisadi Nyangumi. mzee wetu huyu amekuwa kimya. Jee yupo lkn tz?
 
anajipangaa...hatakiwi kukaa kimyaa kwani yeye in voice of many voiceless out there!!!!
Kuna thread ya mzalendo ilianzishwa hapo kwenye jukwaa la siasa kwa tafsiri ile mengi si sauti ya wote maana hafit kwenye uzalendo
 
Kuna thread ya mzalendo ilianzishwa hapo kwenye jukwaa la siasa kwa tafsiri ile mengi si sauti ya wote maana hafit kwenye uzalendo
ana waumini wake lukuki na inamfanya yeye kuwa sauti yao hata kama hana uzalendo unaotakiwaa na watu fulani
 
Mkuu kandambilimbili;
Sakina hawezi kujibu, kwa sababu si amechkuliwa na mafisadi,hamna la kujibu jibu ndo hilo.
 
Muulize SAKINA


Sakina Datoo au mwingine??? Kama ni huyu niliyetaja ni mshikaji wa mafisadi na nilishangaa Mengi alimwajirije kama group editor. Yaani hakusoma alama tu, ni kuwa Mengi alikuwa ameajiri mtu hatari, ni kama vile yule Badra Masoud tu!!!! Naamini hapa wanaofahamu wataunganisha the dots.

Mzee wetu acha atulie, wafuasi anao, ananisemea mimi, yule, sisi, wale, wao, yaani wazalendo wa Kitanzania. Ananisemea kupitia vyombo vyake vya habari kwa kuthubutu kusema wazi na kufichua ufisadi halafu serikali eti kwa kutaka kumkomoa inataka mmiliki wa vyombo vya habari awe nacho kimoja tu. Hawana adabu kabisa. Wapi demokrasia Tanzania. Tunataka uhuru wa vyombo vya habari kwani vinaelimisha umma.

Niambie watanzania wangapi wanasoma magazeti ya TSN ambayo usambazaji wake ni tabu tu?? Wanataka kuturejesha kule kweusi na miswada yao ya kinafiki.

Hivi nyie waandishi mlioko huku, hakuna World Organisation ya Media ambayo mnaweza kwenda pale mkapeleka ule mswada ili waweze kusema kidunia??? Haiwezekani kidunia viongozi wa Tz wafungie mambo ya kutangazwa wanapotembelea nchi za watu kama vile mlivyoamua kumfungia Mkuchika?
 
AMEFULIA.
mtafutieni hoja otherwise AJIRA zenu zitakuwa mashakani


Tushirikiane kumtafutia hoja. Wanataka kummaliza kabisa. Ila tulishamwambia asione system na baadhi ya uongozi wanamchekea afikiri wanamtaka. They wish him vanish ni vile wanaona itakuwa ni sooo la nguvu. Akae wima na kwa machale.
 
LA MUHIMU HASA KUMUOMBE SAANA MHESHIMIWA MENGI KWA JUHUDI ZAKE. kWA SASA SAWA YUPO KIMYA LAKINI NADHANI BAADAE ATAKUJA NA KITU KIZURI ZAIDI.KWA WALE WOTE WALIO WAZALENDO HICHO NDO KITU CHA KUFANYA,IKIWA PAMOJA NA KUMUUNGA MKONO KATAIKA SHUGHULI ZAKE ZA KUPINGA UFISADI NCHINI!!
 

Maane!

Wacha uchokozi una lako jambo. Unajua akina RA WALITAKA kumpigisha mzinga Reginald Mengi nae kwa sababu alidanganyika akamchukua Sakina Datoo to prove kwamba hana chuki na Waesia kumbe walitaka kumdhibiti actualy ni mkakati wa akina Mkuchika !!!!

Next time nitajitolea kumsaidaia R.A. Mengi akitaka kumwajiri mtu ani - PM na kunipa jina la huyo mtu nitamfanyia Vetting free of charge but asinilipe wala kutaka kujua jina langu.

Maane Huyo Badra MASOUD ni tunda la Ufisadi iko siku nitamtaja alimpendekeza kupewa cheo cha umeneja wa mawasiliano Tanesco. IPP media ni mojawapo ya vyombo vlivyomshukia Dr. Idris kwa ufisadi wa Rada matokeo yake akishirikiana na Badra amekataza kutangaza matangazo ya aina yoyote ya Shirika la Tanesco kwenye vyombo vya IPP.

With massive coverage kuliko any private media house in East and Central Africa Badra na Idris(They are under the RA pay roll mpaka leo) wameamua kuwanyima walio wengi habari!! Ngeleja anajua na bodi marehemu ya Petro alye mgonjwa wanajua hilo??? Nadhani hata presida na Mkuchika wanajua!!!je huo ni uhuru wa habari

That is why nakuuliza Maane umetumwa kuchokoza hii thread au lau vinginevyo kwa kumfananisha Ms Datoo na Badra Masoud utasomewa albadili usiandike tena!!!! yES!!!!
 
nimefurahishwa na michango yenu Mengi katufungua macho nanamwomba aibuke na lingine zito zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…