Mh Rais kurihutubia taifa wiki hii

Mh Rais kurihutubia taifa wiki hii

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2009
Posts
2,935
Reaction score
3,346
kutokana na taifa kupitia katika mijadala mingi, wandugu tutarajie nini kutoka kwa mh rais
 
Tegemea tabasamu na kiswahili fasaha cha pwani kilichojaa usanii wa hali ya juu.
 
Tusubiri. Mafisadi na sheria ya kuwabana? maana sheria ya PCCB imepunguziwa makali
 
Hakuna Jipya ndugu zangu
We all understand our president, tusiweke sana attention, there is nothing new zaidi ya kupigiwa pororjo kibao. Kama kuna kazi ya kufanya wewe kafanye tu ndugu yangu.


Kweli kabisa! Sidhani kama atakuwa na jipya huyu.
 
tegemea tabasamu na vicheko na ushauri wawabongo wote tucheze basketball ili tuingie ikulu kama ndugu yetu Hasheem!!
 
nampenda sana ndugu mh. dr. rais kikwete, muda wote anatabasamu ni isha ra tosha ya busara alizonazo
 
naomba hiyo miaka kumi iishe haraka aondoke maana anatucheleweshea maendeleo tuu na kuendelea kujenga Taifa la mafisadi!
 
naomba hiyo miaka kumi iishe haraka aondoke maana anatucheleweshea maendeleo tuu na kuendelea kujenga Taifa la mafisadi!

Kwani kuna lazima ya kusubiri miaka kumi?
 
Thread hii vipi mbona inaelea hewani?Halafu mm, jamani jitahidini basi kuandika,sasa "kurihutubia" maana yake nini?

kutokana na taifa kupitia katika mijadala mingi, wandugu tutarajie nini kutoka kwa mh rais
 
kwa JK andikeni maumivu tu, unakumbuka tulivyokuwa na matumaini wakati akilihutubia bunge agosti mwaka jana akaishia kuimba ngonjera za kikwere hadi spika akamchana live, kwa leo tegemea ataongelea mambo ya HASHIM THABEET na utumbo mwingine i have never seen a liitle srious president like this.
 
Nafikiri JK hana la kutuhutubia ila atatuuzia sura kwenye luninga na kutupa habari za ubabaishaji tu.
 
naomba hiyo miaka kumi iishe haraka aondoke maana anatucheleweshea maendeleo tuu na kuendelea kujenga Taifa la mafisadi!

Una uhakika gani kama atamaliza miaka 10 in the office? Kwenye Bunge imara na lisilokua la mafisadi hata 2010 anaweza asifike
 
..sasa unategemea JK atamaliza uraisi in 5 yrs?

Kipindi cha urais ni miaka mitano, ndio maana baada ya hapo unafanyika uchaguzi. Sasa kama wewe unaona anafaa (kutokana na kuuza sura) utamchagua, ili sisi tunaotaka nchi yetu ipige hatua ya maendeleo hatutamchagua. Naamini Watanzania wengi sasa wanaelewa maana ya kupiga kura. Sidhani kama watakuwa tayari kupoteza kura zao kwa mtu ambaye sifa yake kubwa ni kutabasamu.
 
Niliacha kusikiliza utumbo wa huyu mheshimiwa miaka 2 iliyopita. Subra ilinishinda, baada ya yeye kuonyesha consistency ya pumba katika hotuba zake.
 
Kiswahili ni lugha tamu sana na inayovutia hasa pale inapoandikwa au kutamkwa kwa lafudhi sahihi na fasaha, uharibifu kwenye utamshi wa maneno kwenye lugha yetu hii tamu huifanya hadhira ijione kama iko kwenye chini ya ulinzi wa polisi
 
nampenda sana ndugu mh dr. rais kikwete, muda wote anatabasamu ni isha ra tosha ya busara alizonazo

Hapo ndo huwa nachoka baadhi ya vyombo vya habari vinavyompamba kwa titles za kupewa - ITV + TBC wakiongoza kwa kujipendekeza
 
Back
Top Bottom