Black Mirror
JF-Expert Member
- Oct 17, 2019
- 973
- 1,274
Ndugu yangu Mayalla P, October hii wala si muhimu sana km ambavyo wengi tulizoea huko nyuma...miaka ile masaa km haya wanasiasa wanajikomba kwa raia ili october wasiwaangushe ila kipindi hiki hakuna kitu kama icho maana chama tawala kina zaidi ya uhakika kuwa ndicho kitashinda tena kwa kishindo..ni jambo lipi litamsukuma mkuu wa nchi kutekeleza yote haya?Kutokana na umuhimu wa mwezi October ya mwaka huu, hoja za bandiko hili zitatimizwa mwaka huu, mishahara itapanda, annual increments zitalipwa tena with arrears, madeni ya walimu yatalipwa, na ajira mpya zitafunguliwa.
P
Uhakika wa ushindi upo, kwa kuanzia tuu ushindi wa 51% simple majority tayari upo na utapatikania mezani kwa CCM kupita bila kupingwa, lakini kinachotafutwa sio simple majority, ni landslide victory ya 99.9% kama kwenye serikali za mitaa, kiukweli rais Magufuli anakubalika sana na hili nimelizungumza hapaNdugu yangu Mayalla P, Octaber hii wala si muhimu sana km ambavyo wengi tulizoea huko nyuma...miaka ile masaa km haya wanasiasa wanajikomba kwa raia ili october wasiwaangushe ila kipindi hiki hakuna kitu kama icho maana chama tawala kina zaidi ya uhakika kuwa ndicho kitashinda tena kwa kishindo..ni jambo lipi litamsukuma mkuu wa nchi kutekeleza yote haya? Yangu na wewe ni macho ngoja tusubiri muda ufike. Mei mosi siyo mbali sana japo sijui inafanyikia viwanja vipi.
Unaumizwa na nini wakati huo ndio ukweli wenyewe halisi wa kitakachotokea, kuumia na kuficha maumivu na badala yake kuonyesha meno ili kulinda usalama wako, kwa kuhofia ML na Uhujumu, kunaonyesha kweli wewe ni fisadi!. Mtu safi asiye fisadi hawezi kuogopa ML na uhujumu!.Hahahaaa,nacheka lakini moyoni naumia sana,nashindwa kuonyesha maumivubyangu wazi wazi kwa sababu kuna "ML" na "uhujumu uchumi" ngoja niendelee kuonyesha meno tu kwa usalama wangu na ndugu zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Budgetary indicators zitatoka mwezi April.Umeona bajeti ya mwaka huu imeongezeka kwa kiasi gani ukikinganisha na ya mwaka jana?
dodge