Mh. Rais okoa jahazi kwa kuwaondoa dvcs wa udom wote.

Mh. Rais okoa jahazi kwa kuwaondoa dvcs wa udom wote.

NJALI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
1,534
Reaction score
1,090
Mimi ni miongoni mwa wahitimu wa chuo kikuu cha Dodoma. Hicho chuo kinaongozwa kama kijiwe cha pombe kila mlevi anafanya analoliona linamfaa. Uwajibikaji ni zero. Kuanzia ngazi ya juu hadi kwa wahasibu mambo yanayofanyika hayafurahishi. Ofisi zinafunguliwa saa 4 na mwisho wa huduma saa 6. Fuatilia utapata ukweli.
 
Proff kikula kashindwa kazi siamini?
 
Akifumuafumua tutaambiwa mfumo nanilii unafanya kazi..
 
Si walijiajiri wale watu wasiojiweza ona wameharibu chuo chetu hasa udini wao
 
NJALI kwa mujibu wa hoja yako naomba unifahamishe vizuri maana kama umesoma hapo unajua mfumo wa uongozi wa hapo yaani organization structure, ni nani hayo masuala uliyoyaeleza yako chini yake? Na je mlifanya jitihada gani kufikisha taarifa kwao?
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la Udom ni liko kwa mtu mmoja anaitwa Prof Shaaban A K Mlacha. Huyu jamaa anashika cheo cha planning, Finance and Administration. Ni kero kwa wafanyakazi, wanafunzi na hata jamii inayoishi karibu na chuo. Anawadharau hadi maprofesa wenzake kwa kigezo tu kwamba yeye ni mteule wa rais! Wao kawa weka yeye! MAKAMU mkuu wa chuo Prof Kikula mzee wa watu hana tatizo ila hana maamuzi dhidi ya Mlacha. Kipindi tunagoma 2010 miongoni mwa kero yetu ilikuwa kwamba huyo prof wa kiswahili Mlacha aondolewe lakini waziri mkuu Pinda alikiri kwamba kero zote atazitatua isipo kuwa moja tu ya kumuondoa Mlacha hawezi! Hakumuweka yeye akasema labda atamshawishi rais kitu ambacho hadi leo kajamaa kapo ofisini. Kama maprof wamekwisha wavunje sheria wampe hata mstaafu kuliko kuharibu hadhi ya chuo kwa sababu ya mtu mmoja au wawili.
 
Si walijiajiri wale watu wasiojiweza ona wameharibu chuo chetu hasa udini wao

Vitu vingapi wamepewa hao wanaojiita wanaweza wanaishia na kashfa nyingi tu..?acha umburula wako wa kimawazo; kila mwenye sifa ya kuongoza kitu mwacheni apewe bila ya kuangalia asili yake au dini yake;tujengeni taifa ubaguzi wa kidini haufai...!
 
majungu yenu hayasaidii, ukweli utabaki kuwa ukweli.
Mleta mada unashindwa kueleza ni ofisi gani na katika colege gani. Wenzako walishapika sana majungu tena makubwa zaidi ya hayo na wakashindwa. We na wenzako endeleeni kupoteza muda.
 
vitu vingapi wamepewa hao wanaojiita wanaweza wanaishia na kashfa nyingi tu..?acha umburula wako wa kimawazo; kila mwenye sifa ya kuongoza kitu mwacheni apewe bila ya kuangalia asili yake au dini yake;tujengeni taifa ubaguzi wa kidini haufai...!
sasa hao waliopewa wameweza au wameshindwa?
 
Usiweke kisingizio cha dini katika mambo yanayogusa maslahi ya taifa, kama anae tuhumiwa ni dini fulani basi aondolewe kisha awekwe wa dini hiyo hiyo. Kwani wewe unajua mtoa maada ni dini gani? After all dini ipi inaruhusu mtu kula pesa za wanachuo za majoho na special faculty? Nayo udini? Chunguza tuhuma sio kuropoka huku hujasoma wala kufika hapa chuoni.
 
Teh teh teh akina flani wamezoea mno kuongoza,akiongoza mwingine tu "hawezi kuongoza".
 
Teh teh teh akina flani wamezoea mno kuongoza,akiongoza mwingine tu "hawezi kuongoza".

Hao wengine wana udhaifu sana wakishika ofsi wanaboronga sana hebu angalia ofsi nyingi wanazoongoza zinavyo underperform ukianzia na yule mpangaji wa pale magogoni.
 
Vitu vingapi wamepewa hao wanaojiita wanaweza wanaishia na kashfa nyingi tu..?acha umburula wako wa kimawazo; kila mwenye sifa ya kuongoza kitu mwacheni apewe bila ya kuangalia asili yake au dini yake;tujengeni taifa ubaguzi wa kidini haufai...!

Asalam alyeikum. Kaka hao ndio kawaida yao. Huwa ndio wa kwanza kuona tatizomla udini, hufanya hivyo ili kufanya jamii ya kiislamu isiaminike. Kwa kifupi ni kwamba wanataka kuwajaza woga ili waislamu washindwe kujiamini. Uzuri ni kwamba tunalitambua hilo. Dawa yao ni kuwaambia ukwelimili mikakati yao wanayopewa makanisani ishindwe. Kwani mkapa ni muislamu?, sumaye ni muislamu, mramba muislamu, chenge ni muislamu, yona ni muislamu? Orodha ni ndefu ya viongozi wao wenye imani yao wenye mapungufu. Waislamu wanaongoza kwa haki, kitu ambavhomhuwa hakiwavutii na hakiwafurahishi. Wanapenda uwapendelee na uwasikilize ili waweze pata upenyomwa KUKWAPUA ili wakatoe michango minono church. Vibaka tu hao. Takbiriiiiiiii
 
hatuko misri,Tanzania ni nchi ya amani sana
 
Back
Top Bottom