Si walijiajiri wale watu wasiojiweza ona wameharibu chuo chetu hasa udini wao
Akifumuafumua tutaambiwa mfumo nanilii unafanya kazi..
Si walijiajiri wale watu wasiojiweza ona wameharibu chuo chetu hasa udini wao
sasa hao waliopewa wameweza au wameshindwa?vitu vingapi wamepewa hao wanaojiita wanaweza wanaishia na kashfa nyingi tu..?acha umburula wako wa kimawazo; kila mwenye sifa ya kuongoza kitu mwacheni apewe bila ya kuangalia asili yake au dini yake;tujengeni taifa ubaguzi wa kidini haufai...!
Teh teh teh akina flani wamezoea mno kuongoza,akiongoza mwingine tu "hawezi kuongoza".
Vitu vingapi wamepewa hao wanaojiita wanaweza wanaishia na kashfa nyingi tu..?acha umburula wako wa kimawazo; kila mwenye sifa ya kuongoza kitu mwacheni apewe bila ya kuangalia asili yake au dini yake;tujengeni taifa ubaguzi wa kidini haufai...!
Asalam alyeikum. Kaka hao ndio kawaida yao. Huwa ndio wa kwanza kuona tatizomla udini, hufanya hivyo ili kufanya jamii ya kiislamu isiaminike. Kwa kifupi ni kwamba wanataka kuwajaza woga ili waislamu washindwe kujiamini. Uzuri ni kwamba tunalitambua hilo. Dawa yao ni kuwaambia ukwelimili mikakati yao wanayopewa makanisani ishindwe. Kwani mkapa ni muislamu?, sumaye ni muislamu, mramba muislamu, chenge ni muislamu, yona ni muislamu? Orodha ni ndefu ya viongozi wao wenye imani yao wenye mapungufu. Waislamu wanaongoza kwa haki, kitu ambavhomhuwa hakiwavutii na hakiwafurahishi. Wanapenda uwapendelee na uwasikilize ili waweze pata upenyomwa KUKWAPUA ili wakatoe michango minono church. Vibaka tu hao. Takbiriiiiiiii