#COVID19 Mh Rais Samia, tunaomba policy ya serikali yako kuhusu corona

#COVID19 Mh Rais Samia, tunaomba policy ya serikali yako kuhusu corona

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Hii ni muhimu kujua nchi inajimuikaje na dunia kuhusi corona. Tilijitoà na tukasusia WHO na policy zao na Corona containment, msimamo wa serikali yako ni ipi? Kuhusi vaccine etc etc.

Mfano, Kama kutakuwa chanjo ya bure toka WHO je serikali iko tayari kuwaruhusu wanaotaka kuchanjwa wachanjwe?
 
Hii ni muhimu kujua nchi inajimuikaje na dunia kuhusi corona. Tilijitoà na tukasusia WHO na policy zao na Corona containment, msimamo wa serikali yako ni ipi?
Mama Samia akijibu swali lako...uni tag please.
 
Msimamo wa serikali bado uko palepale wa kutokuvaa barakoa za mabeberu wala kutokuweka lockdown

Ni afadhari watu wachache safe kwa korona kuliko watu wote kufa kwa stress za lockdown
 
Corona kaugonjwa kadoogo! Ni futa tu ambalo ukiliyeyusha kwenye centgrade fulani linayeya
 
Chukua Tahadhari...

So long as hatubezi na kuwacheka na kuwashangaa wanaochukua tahadhari wala kuleta propaganda na conspiracy theories na story za kwenye Gahawa kama taifa...., am all good....
 
Msimamo wa serikali bado uko palepale wa kutokuvaa barakoa za mabeberu wala kutokuweka lockdown

Ni afadhari watu wachache safe kwa korona kuliko watu wote kufa kwa stress za lockdown
Nobody will die of lockdown stress, after all hakuma aliyesema tuwekee lockdown. Tunataka kutoà uhuru say WHO ikileta chanjo ya bure, au wenye uwezo wapate fursa ya kuchagua wachanjwe au waache. Uhuru wa kuamu at individual level
 
Hii ni muhimu kujua nchi inajimuikaje na dunia kuhusi corona. Tilijitoà na tukasusia WHO na policy zao na Corona containment, msimamo wa serikali yako ni ipi?
Hakuna corona
 
Hahaaaa....hana corona policy!

Ile kutokuzingatia tu tahadhari za msingi ni ujumbe tosha kuwa hakuna policy!

Jana tena wamerundikana wote chini ya hema kuapishana.

Wamekaa karibu karibu. Sikuona hata mmoja mwenye barakoa.
 
Nobody will die of lockdown stress, after all hakuma aliyesema tuwekee lockdown. Tunataka kutoà uhuru say WHO ikileta chanjo ya bure, au wenye uwezo wapate fursa ya kuchagua wachanjwe au waache. Uhuru wa kuamu at individual level
Chanjo kama ni bure kwa maana ya bure itaruhusiwa ila kama iko katika mfumo wa mikopo kichefuchefu watakaa na mavi yao nyumbani
 
Hii ni muhimu kujua nchi inajimuikaje na dunia kuhusi corona. Tilijitoà na tukasusia WHO na policy zao na Corona containment, msimamo wa serikali yako ni ipi? Kuhusi vaccine etc etc.

Mfano, Kama kutakuwa chanjo ya bure toka WHO je serikali iko tayari kuwaruhusu wanaotaka kuchanjwa wachanjwe?

Kuhusu chanjo, mbona pana klipu ya video ya msemaji wa serikali ilisambaa, akihojiwa wiki kadhaa zilizopita, akisema serikali inaangalia namna bora ya kushughulika na chanjo.

Pana nchi zimekataa baadhi ya chanjo. Mtoa mada, unasemaje kuhusu chanjo hizo zilizokataliwa na wenzetu: zikiletwa TZ nchi izichukue? Je, unamaanisha nchi iruhusu kila inayoitwa ni chanjo kutoka nchi yoyote, ilimradi serikali hailipii kwa pesa?
 
Back
Top Bottom