Mama Samia akijibu swali lako...uni tag please.Hii ni muhimu kujua nchi inajimuikaje na dunia kuhusi corona. Tilijitoà na tukasusia WHO na policy zao na Corona containment, msimamo wa serikali yako ni ipi?
Nobody will die of lockdown stress, after all hakuma aliyesema tuwekee lockdown. Tunataka kutoà uhuru say WHO ikileta chanjo ya bure, au wenye uwezo wapate fursa ya kuchagua wachanjwe au waache. Uhuru wa kuamu at individual levelMsimamo wa serikali bado uko palepale wa kutokuvaa barakoa za mabeberu wala kutokuweka lockdown
Ni afadhari watu wachache safe kwa korona kuliko watu wote kufa kwa stress za lockdown
Hakuna coronaHii ni muhimu kujua nchi inajimuikaje na dunia kuhusi corona. Tilijitoà na tukasusia WHO na policy zao na Corona containment, msimamo wa serikali yako ni ipi?
Corona ipo, Kama majirani wanayo , Basi sisi hatuwezi kusema hatunaHakuna corona
Wacha tuishi kwa misingi hioCorona ipo, Kama majirani wanayo , Basi sisi hatuwezi kusema hatuna
Chanjo kama ni bure kwa maana ya bure itaruhusiwa ila kama iko katika mfumo wa mikopo kichefuchefu watakaa na mavi yao nyumbaniNobody will die of lockdown stress, after all hakuma aliyesema tuwekee lockdown. Tunataka kutoà uhuru say WHO ikileta chanjo ya bure, au wenye uwezo wapate fursa ya kuchagua wachanjwe au waache. Uhuru wa kuamu at individual level
Hii ni muhimu kujua nchi inajimuikaje na dunia kuhusi corona. Tilijitoà na tukasusia WHO na policy zao na Corona containment, msimamo wa serikali yako ni ipi? Kuhusi vaccine etc etc.
Mfano, Kama kutakuwa chanjo ya bure toka WHO je serikali iko tayari kuwaruhusu wanaotaka kuchanjwa wachanjwe?