Yeye mwenyewe hajui kitu gani cha kuongea mbele ya hadharaINASIKITISHA sanaa kila Rc anaongea YAKE mbaya zaidii anaemsema ama kumzalilisha nae n mteule WA RAISI
MH kwa HILI TUNAOMBA baba warudishe kasemina kidogo wajue.mwenzao anapokosea NJIA gani itumike.kuwasilisha.hisia na sio kumwagikahadharani View attachment 1358151
Wajuee mipaka yaoo n.ipii HILI n jamboo jema sana kwa taifaa
Hiyo semina aanze kupewa Rais mwenyewe kwa nafasi yake kama rais halafu apewe tena rais mwenyewe kwa nafasi yake kama mteuzi ya hawa waropokaji dc na rcInasikitisha sana kila Rc anaongea yake mbaya zaidii anaemsema ama kumzalilisha nae n mteule WA RAISI