Mh. Saada Mkuya aja tena na swali la KIBAGUZI

majebsmafuru

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Posts
463
Reaction score
649
Ni wiki iliyopita tu toka Mh. Saada Mkuya kuwasilisha hoja ya Zanzibar kutokuwepo na kutokuhusishwa kwenye mpango wa taifa wa maendeleo, na kutokea kuzongwa zongwa na Waheshimiwa wenzake...
Yaonekana hakujifunza wala nini, leo kaja na swali la KIBAGUZI lililomfanya Mh. Mbarawa kustuka, kuhamaki na kumuwakia Mh. Saada Mkuya kwa kuleta mambo ya kibaguzi, kukosa utaifa na weledi kama kiongozi wa zamani wa dola..
Imesikitisha wengi na kudiriki kusema Mh. Saada Mkuya, labda anawasilisha mawazo na fikra za Pemba vijijini au story za vijiweni pale Zanzibar Darajani!
Wanabodi karibu kujadili bila matusi wala hamaki..
PROF MBARAWA AMSHUKIA SAADA MKUYA BUNGENI via YouTube
 
Wahenga walisema "Dai haki yako uonekane mbaya" ndio tunasikieni eti mbaguzi mara mtasema mdini mara huyo ni sawa na mpinzani. Ni haki yake mwacheni atoe mawazo yake kama sheria inavyomruhusu
 
Mbarawa ni presidential material kabisa huyu jamaa. Atatufaa sana huko mbeleni
Nimesoma post ila nikaipotezea video ila hii Comment yako inanifanya nirudi kuifungua na nakubaliana kabsa na ulichokisema, Makame Mbarawa is the PRESIDENTIAL MATERIAL!

Sio yule mwenye kauli zinagawanya taifa na akili za kukomoa wanyonge
 
Uyu saada anataka kuleta mambo ya majirani zetu ambao wanatambuana kwa ukabila
 
Mbarawa ni presidential material kabisa huyu jamaa. Atatufaa sana huko mbeleni
Nakubali...hata top 3 awepo..huyu mama alikosea sana, sana, sana. Nina ndugu kule Wasukuma wa Shinyanga, wana rangi kama yeye, wanaongea kiswahili, kisukuma na kiarabu, na ndio Waislamu, huyu mama anataka kusema nini?!
 
By the way what is Zanzibar?? Ni kaeneo kadogo ka watu milioni kanataka kwenda pasu kwa pasu na watu milioni 50. fuuu
Kama ni kawatu kadogo kama millioni mbona mnakangangania
Tupeni zanzibar yetu
Muone kama hamjakuja kutalii
Na kuosha macho
Itakuwa kama dubai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…