Labda Oman walikuja na meli kuangalia cha kuendeleza! Uzuzu mbaya duniani..Unafikiri mahali panakua Dubai kwa maneno...kipi cha kufanya znz kuwa Dubai?
Mkuu mpotezee huyo mnyia baharini maana hajielewi, amesahau kwamba hata watu wa Sudani kusini walipokuwa na madai ya kutaka kujitenga walimini kabisa kuwa wenzao was Khartoom wanafaidi utajiri wao wa mafuta hivyo wakaona wakijitenga wataweza kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo, maendeleo ambayo yataufanya mji wao mkuu Juba kuwa Jubai (Dubai ya Afrika), kilichotokea na kinachoendelea kutokea huko Sudani Kusini dunia inajuwa. Nchi INA majanga kibao, njaa, maradhi, vita vya wenyewe kwa wenyewe vimetamalaki. Walichokitarajia sicho kilichotokea. Sasa ujinga huo was Wasudani kusini ndiyo umejaa vichwani mwa waZanzibari wengi akiwemo huyo Dada Saada.Unafikiri mahali panakua Dubai kwa maneno...kipi cha kufanya znz kuwa Dubai?
Haha akina Nape wapo wngi wakiwa na vyeo huwasikii hizo kelele wakikosa tu madaraka utawasikia maneno mengi utadhani ndege mnana,huyu dada alipokuwa waziri hayo anayoongea leo hakuyaona?alikwina.Ni wiki iliyopita tu toka Mh. Saada Mkuya kuwasilisha hoja ya Zanzibar kutokuwepo na kutokuhusishwa kwenye mpango wa taifa wa maendeleo, na kutokea kuzongwa zongwa na Waheshimiwa wenzake...
Yaonekana hakujifunza wala nini, leo kaja na swali la KIBAGUZI lililomfanya Mh. Mbarawa kustuka, kuhamaki na kumuwakia Mh. Saada Mkuya kwa kuleta mambo ya kibaguzi, kukosa utaifa na weledi kama kiongozi wa zamani wa dola..
Imesikitisha wengi na kudiriki kusema Mh. Saada Mkuya, labda anawasilisha mawazo na fikra za Pemba vijijini au story za vijiweni pale Zanzibar Darajani!
Wanabodi karibu kujadili bila matusi wala hamaki..
PROF MBARAWA AMSHUKIA SAADA MKUYA BUNGENIvia YouTube
Mbarawa ni presidential material kabisa huyu jamaa. Atatufaa sana huko mbeleni
Hicho kidada ni kibaguzi wala hatujakisahau jinsi kilivyo ipendelea Zanzibar wakati kikiwa Waziri wa FedhaNi wiki iliyopita tu toka Mh. Saada Mkuya kuwasilisha hoja ya Zanzibar kutokuwepo na kutokuhusishwa kwenye mpango wa taifa wa maendeleo, na kutokea kuzongwa zongwa na Waheshimiwa wenzake...
Yaonekana hakujifunza wala nini, leo kaja na swali la KIBAGUZI lililomfanya Mh. Mbarawa kustuka, kuhamaki na kumuwakia Mh. Saada Mkuya kwa kuleta mambo ya kibaguzi, kukosa utaifa na weledi kama kiongozi wa zamani wa dola..
Imesikitisha wengi na kudiriki kusema Mh. Saada Mkuya, labda anawasilisha mawazo na fikra za Pemba vijijini au story za vijiweni pale Zanzibar Darajani!
Wanabodi karibu kujadili bila matusi wala hamaki..
PROF MBARAWA AMSHUKIA SAADA MKUYA BUNGENIvia YouTube
Wala hayuko sahihi, naungana na Waziri Mbarawa kukemea huo upuuzi wa Sada Mkuya.Mh Saada yupo sahihi sana sioni ubaguzi wowote
Kabisa.....rangi ya ubaguzi ubaguzi, ujinga, na kupenda upendeleo 'kubebwa'Saada ameonyesha rangi halisi ya atokako
Kuchangia kwenyewe hawachangii halafu wanataka nafasi zaidiBy the way what is Zanzibar?? Ni kaeneo kadogo ka watu milioni kanataka kwenda pasu kwa pasu na watu milioni 50. fuuu
ni mpuuzi kabisaUyu saada anataka kuleta mambo ya majirani zetu ambao wanatambuana kwa ukabila
Huyo mwanamke alipaswa hata kufukuzwa bungeni, mjinga kabisaNakubali...hata top 3 awepo..huyu mama alikosea sana, sana, sana. Nina ndugu kule Wasukuma wa Shinyanga, wana rangi kama yeye, wanaongea kiswahili, kisukuma na kiarabu, na ndio Waislamu, huyu mama anataka kusema nini?!
Inasikitisha sana akili zetu sisi watanzania! As long as anatoka CCM, we are doomed! Tatizo ni CCM bandugu!Mbarawa ni presidential material kabisa huyu jamaa. Atatufaa sana huko mbeleni
Alicho sema ni kweli. TTCL ni Mungano.
Ila ila waajiriwa hata Zanzibar ni wabara
Mkonge wa Taifa ambao upo chini ya TTCL umeishia Bara mikoa karibu yote ...zanzibar haukufika.
TTCL na Posta yote ya Muungano lakini faida ni Tanganyika.
Mbarawa anatetea ulaji hana political base in Zanzibar na amewaka anajijenga kwa 2020 aibiwe kura ili apate urais wa Zanzibar
Siku ccm itangolewa zanzibar ndio siku zanzibar watapata uhuru wake time will tellWala hayuko sahihi, naungana na Waziri Mbarawa kukemea huo upuuzi wa Sada Mkuya.
Ni ubaguzi kutaka Zanzibar ipewe special treatment.
Acha illusion izo. ..Kama ni kawatu kadogo kama millioni mbona mnakangangania
Tupeni zanzibar yetu
Muone kama hamjakuja kutalii
Na kuosha macho
Itakuwa kama dubai
Ni kweli Profesa Mbarawa ameonyesha utulivu mzuri na busara za kuwa kiongozi huku tukizingatia kupwaya kwa Magufuli katika hiyo nafasi kwa sasa.Mbarawa ni presidential material kabisa huyu jamaa. Atatufaa sana huko mbeleni