Baba ake wa huko njombe kama ulikuwapoKwani Massauni anatoka Njombe?
Huyo mama ndo JK alimkabidhi funguo za mapesa yetu. Ndo maana tulikuwa tunajitekenya na kucheka wenyewe.
Ndiyo tuelewe, wakitaka kuiba sehemu wanaweka vichwa vya panzi kama hivyo, mpaka sasa siamini huyu kusema maneno ya kizushi na kibaguzi kama yale!Aliwekwa ili ile hela ya TEGETA ESCROW itoke kirahisi baada ya Dr Mgimwa kuweka ngumu.
Ndiyo tuelewe, wakitaka kuiba sehemu wanaweka vichwa vya panzi kama hivyo, mpaka sasa siamini huyu kusema maneno ya kizushi na kibaguzi kama yale!
Huyu lazima ana vyeti feki, au kabebwa sana mpaka kufikia hapo alipo, aidha chakula ya mtu au ndugu ya kigogo..
Tena wizara kubwa ya Fedha...!!Halafu alikuwa waziri...kaaazi kweli kweli
Mkuu Safari..enzi zile ilikuwa kupeana tuu...Huyu binti ni mweupe kabisa kichwani. Sijui ilikuwaje akawa Waziri wa Fedha!
Ni wiki iliyopita tu toka Mh. Saada Mkuya kuwasilisha hoja ya Zanzibar kutokuwepo na kutokuhusishwa kwenye mpango wa taifa wa maendeleo, na kutokea kuzongwa zongwa na Waheshimiwa wenzake...
Yaonekana hakujifunza wala nini, leo kaja na swali la KIBAGUZI lililomfanya Mh. Mbarawa kustuka, kuhamaki na kumuwakia Mh. Saada Mkuya kwa kuleta mambo ya kibaguzi, kukosa utaifa na weledi kama kiongozi wa zamani wa dola..
Imesikitisha wengi na kudiriki kusema Mh. Saada Mkuya, labda anawasilisha mawazo na fikra za Pemba vijijini au story za vijiweni pale Zanzibar Darajani!
Wanabodi karibu kujadili bila matusi wala hamaki..
PROF MBARAWA AMSHUKIA SAADA MKUYA BUNGENIvia YouTube
Noted, kweli kabisa...Angalia sarakasi za uteuzi wa Mawaziri wa fedha miaka hii ya kupata mgombea mpya CCM
1995(IPTL)
2005(EPA) na
2015(ESCROW)
Yeye n mbunge kutoka zanzibar why asitetee maslahi ya watu wake?
Tanzania n muungano wa nchi mbili zanzibar na Tanganyika. Hiyo muheza yako iko TanganyikaMaslahi gani hayo anayoyatetea? Mbona hatusikii mbunge wa Muheza akihoji uteuzi wa Wabondei kwenye board ya TTCL? Acheni ujinga wenu.
Mkuu kwani huyu dada anajisell??? Namtamanigi cku nyingi sana ...nampataje????mbarawa kamjibu vizuri sana huyo changu..........
Mawazo ya kijinga jinga (by JKN)Wahenga walisema "Dai haki yako uonekane mbaya" ndio tunasikieni eti mbaguzi mara mtasema mdini mara huyo ni sawa na mpinzani. Ni haki yake mwacheni atoe mawazo yake kama sheria inavyomruhusu