Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Tanzania n muungano wa nchi mbili zanzibar na Tanganyika. Hiyo muheza yako iko Tanganyika
Nakwambia kaka, yalianzaga ya Udini yakapigwa chini, sasa yamekuja ya ukabila, tena sio ukabila actually, maana wale Pemba na Unguja ni zao la Bara, kuna kabila zote toka Bara, tukiliacha hili litazaa mfarakano ambao tutachukuwa muda sana kuurekebisha, kila kabila Bara lipo kule, sasa hatuelewi leo wenzetu kujifanya wako tofauti..Maslahi gani hayo anayoyatetea? Mbona hatusikii mbunge wa Muheza akihoji uteuzi wa Wabondei kwenye board ya TTCL? Acheni ujinga wenu.
Nakwambia kaka, yalianzaga ya Udini yakapigwa chini, sasa yamekuja ya ukabila, tena sio ukabila actually, maana wale Pemba na Unguja ni zao la Bara, kuna kabila zote toka Bara, tukiliacha hili litazaa mfarakano ambao tutachukuwa muda sana kuurekebisha, kila kabila Bara lipo kule, sasa hatuelewi leo wenzetu kujifanya wako tofauti..
Huyu mama Mkuya apigwe chini tu, itawa fundisho kwa wengine kutaka kutugawa..
And shes going to get in another way..Mimi naita ni wehu tu. Anatafuta political mileage akumbukwe na wagawa vyeo!
Wewe ndo juha usiyejua katiba ya nchi yako inasemajeTulishaungana na hizo nchi zako mbili hazipo tena. Acha ujuha
Wewe ndo **** usiyejua katiba ya nchi yako inasemaje
100% nimekubaliana nawe.Mbarawa ni presidential material kabisa huyu jamaa. Atatufaa sana huko mbeleni
kumbuka kuna kina Mwigulu, Januari nao wanapasha - ndiyo wabeba fitna wakubwa ndani ya vikao vya chama chao.Mbarawa ni presidential material kabisa huyu jamaa. Atatufaa sana huko mbeleni
RubishWewe kazana na huo ujinga wako. Ila ujie dada yako keshazimwa kwa kuwa hana hoja. Leta issue ingine hii haina tija.
uwekezaji karibia wote unaopapendezesha znz source yake ni mainland au kwengineko kwenye connection na mainland,ukiacha hivyo kinabaki ni kisiwa tu chenye umasikini,njaa, na beach chafu....hawa wanaotaka kujitenga wengi huwa ni waganga njaa tu wa vijiweni ambao wanadhani wakijitenga maisha yao yatabadilika huku wao wanakunywa kahawa tu...kwakuyasema hayo nakushauri mkuu save ur strength.Unafikiri mahali panakua Dubai kwa maneno...kipi cha kufanya znz kuwa Dubai?
Pia ongezea na wale waafrika wanaojifanya waarabu ndo wanataka kujitenga.uwekezaji karibia wote unaopapendezesha znz source yake ni mainland au kwengineko kwenye connection na mainland,ukiacha hivyo kinabaki ni kisiwa tu chenye umasikini,njaa, na beach chafu....hawa wanaotaka kujitenga wengi huwa ni waganga njaa tu wa vijiweni ambao wanadhani wakijitenga maisha yao yatabadilika huku wao wanakunywa kahawa tu...kwakuyasema hayo nakushauri mkuu save ur strength.
Chamsingi Tanzania ilishakuwa moja. Maana yake kulikuwa na Tanganyika na Kulikuwa na Zanzibar. Hizi mbili Zikaungana na Kutengeneza Tanzania. Kwa hiyo hakuna Tanganyika Wala Zanzibar Kuna Tanzania tu. Hapo baada ya bara kuiondoa kabisa Tanganyika, Zanzibar nayo inapaswa kuwahaipo ibakie Tanzania hapo Hakutakuja tena kutokea Vimelea / Cheche za kibaguzi kama hizo . Tatizo naona Zanzibar kuwa kisiwani ndio ikaoneka IPO kivyake . Wakubwa wafanye Maamuzi Magumu waliyofanyaNimestaajabu kweli alichoongea huyo mama
ni maajabu