Mh samwel sitta achukua fomu kugombea uwenyekiti wa bunge la katiba

Mh samwel sitta achukua fomu kugombea uwenyekiti wa bunge la katiba

Magembejr

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
618
Reaction score
75
Leo mh sitta akiwa sambamba na paul makonda na hamis kigwangala wameandamana kuchukua fomu hiyo;ila mizingwe na mkakati wa kumkwamisha sitta ume anza kubainika unao fanywa kwa siri sana na mahasimu wake
 
Hongera zake, ila makonda asingejiweka kimbelembele.
 
Jambo dogo kama hilo wapambe na mbwembwe za nini?

Yaani CCM wao kila jambo ni ushabiki shabiki tu kama wacheza taarabu vile...
 
haha..nenda 6 ,tukatumie office yako kuchukua wanaCCM kibao ili wapigia kura upande wa haki.6 ni very mwoga..tofauti na watu wanavyodhani.Tunajua wa kumtuma kumtisha apate adabu
 
Sitta ana busara sana.... and this is the high time for him to show it up
 
Vipi, ofisi ya mwenyekiti wa kudumu wa bunge zinaanza kujengwa lini uko urambo?
 
Ngoja tuone mwisho wa hili saga...

Huku kushoto Sitta, kulia Kakobe, Nyuma CHADEMA sijui CCM watachomokea wapi
 
Hao waliomsindikiza ni wanafki, wanataka wawe wanapendelewa kwenye kuongea! Hahahahaha!
 
Sita, Sawa. Ila hao Wanafiki wawili waliojipendekeza kumsindikiza, mmh!
 
Back
Top Bottom