Mh. Shukuru Kawambwa ITV kipindi cha Dakika 45

Mh. Shukuru Kawambwa ITV kipindi cha Dakika 45

TGInnocent

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
1,088
Reaction score
582
Wadau wa elimu, fungua itv mh. Kawambwa, waziri wa elimu anahojiwa (recorded) ili uweze kupima ubora au mapungufu ya sera ya elimu iliyo zinduliwa ijumaa na mh JK
 
Hivi ni kweli elimu ya msingi sasa hivi hawalipi malipo yoyote?
 
Michango itaendelea kuwepo kwa sababu ya uwezo mdogo wa serikali.
 
Kawambwa anasema serikali isilaumiwe kutokana na michango mashuleni kwa sababu shule inasimamiwa na kamati za wazazi. Anashindwa kuelewa kuwa kamati zinafanya hivyo kutokana na serikali kutowajibika ipasavyo.
 
Hii sera imeshindwa hata kabla haijaanza utekelezaji wake, haitakuwa na bajeti na usimamizi wake hawataweza labda kama ccm haitakuwa madarakani
 
ningesikia anazungumzia ajira ningekaa kwenye tv yangu na ku
msikiliza ilaa hy sera ya elimu numeaza kuisikia kitambo sanaaa

.........tumechoka coo siriii
 
Hivi ni kweli elimu ya msingi sasa hivi hawalipi malipo yoyote?

malipo yapo kama kawaida na kwa sasa
sizani km sera ya elimu itafanikiwa kufikia
...mwaka2016 kwamba ada zisilpwe kwa kiwango chochote
..cha elimu ..michango itakuwepi tu
 
tena ada ikifutwa michango itakua mara mbili si unaona wazizi primary wanashindwa kuwapeleka watoto shule sababu ya mich
 
elimu bora hakuna sasa wanatupoteza hata hawasomeki leo hili kesho lile ni upuuzi tu,waliopewa lungu wanalitumia hovyo sana wanagonga hata wanyama wasioliwa.
 
Back
Top Bottom