Wadau wa elimu, fungua itv mh. Kawambwa, waziri wa elimu anahojiwa (recorded) ili uweze kupima ubora au mapungufu ya sera ya elimu iliyo zinduliwa ijumaa na mh JK
Kawambwa anasema serikali isilaumiwe kutokana na michango mashuleni kwa sababu shule inasimamiwa na kamati za wazazi. Anashindwa kuelewa kuwa kamati zinafanya hivyo kutokana na serikali kutowajibika ipasavyo.
malipo yapo kama kawaida na kwa sasa
sizani km sera ya elimu itafanikiwa kufikia
...mwaka2016 kwamba ada zisilpwe kwa kiwango chochote
..cha elimu ..michango itakuwepi tu
elimu bora hakuna sasa wanatupoteza hata hawasomeki leo hili kesho lile ni upuuzi tu,waliopewa lungu wanalitumia hovyo sana wanagonga hata wanyama wasioliwa.