Mh Sitta atashindwa kumudu kuongoza hili bunge la katiba: Mjadala huru

PowerWithin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2014
Posts
646
Reaction score
501
Wadau wa katiba mpya!

Hapana hata chembe ya ubishi kuwa Mh Sitta hatamudu kuongoza bunge la katiba!

1.Ni mbabe sana
2.Amelewa sifa zizizo na maana
3.Ana busara ndogo sana pale mjumbe anapokinzana nae
4.Ni rahisi sana kumezwa na itikadi anazoziamini
5.Si mtu anaekubali kutokukubaliana
6.Ana jazba sana
7.et al

Tuache maneno mengi........tusubiri tuone; if at all he will prove me wrong.......beyond doubt he wont be able!!!!!!!

cc: Chabruma, Skype et al
 
Last edited by a moderator:

Hoja hii imeungwa mkono na Skype na kwa kuongezea tu ni kwamba kama hakutatumika busara nina uhakika kutatokea machafuko makubwa bungeni siku chache zijazo.
 
Haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaa........naomba kukoleza lile neno "MACHAFUKO MAKUBWA BUNGENI" yapo mbioni kuelekea bungeni tena yanaenda kwa spidi kubwa mithili ya mbio za usain bolt........busara zinahitajika sana pale.......viongozi wa aina ya sitta hawakuwa sahihi kabisa kupewa kiti kama kile ... .. ... . . . ..wajumbe wa bunge la katiba wamebugi mazimaaaaaaaaa . .. .............wasubiri wajijutie huko wenyewe ................ sina imani tena na hilo bunge!!!!!!
 
Mkuu, najua kwa nyinyi mliobahatika kujua lugha ya malkia hua mnakamsemo kenu mnasema 'time will tell'
 
Mkuu MaishaPesa ulisema upo maeneo ya kariakoo, naweza kupata earphone zenye mdundo mkubwa?
 
Last edited by a moderator:
Hoja hii imeungwa mkono na Skype na kwa kuongezea tu ni kwamba kama hakutatumika busara nina uhakika kutatokea machafuko makubwa bungeni siku chache zijazo.

wakati mweshimiwa sita anapita kuwa mwwnyekiti nilofarahi sasa naanza kupata wasiwasi anabyosema wabunge pia wanaweza kubadilisha vifungu bya rasimu ya katiba. sasa jamani kina.walioba na wenzake walikua wanafanya nini kwa wannchi wakati bunge linauwezo wa kutengua vigungu. sita ndo atakaoliza wananchi akyamungu.
 
Haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaa........naomba kukoleza lile neno "MACHAFUKO MAKUBWA BUNGENI" yapo mbioni kuelekea bungeni tena yanaenda kwa spidi kubwa mithili ya mbio za usain bolt........busara zinahitajika sana pale.......viongozi wa aina ya sitta hawakuwa sahihi kabisa kupewa kiti kama kile ... .. ... . . . ..wajumbe wa bunge la katiba wamebugi mazimaaaaaaaaa . .. .............wasubiri wajijutie huko wenyewe ................ sina imani tena na hilo bunge!!!!!!

kiongozi hakuna cha busara tena wakati watu wamekwambia serekali mbili lazima wataka busara zipi tena? tumeshaliwa hizo pesa zimeshapotea na wakiona wameshindwa tutarudi kwenye katiba ya sasa. chezea ccm wewe!!!!
 
wakati mweshimiwa sita anapita kuwa mwwnyekiti nilofarahi sasa naanza kupata wasiwasi anabyosema wabunge pia wanaweza kubadilisha vifungu bya rasimu ya katiba. sasa jamani kina.walioba na wenzake walikua wanafanya nini kwa wannchi wakati bunge linauwezo wa kutengua vigungu. sita ndo atakaoliza wananchi akyamungu.

Kinachotokea bunge movie kwa sasa ni matusi makubwa kwa mananchi
 
Toka 6 aliposema atawashughulikia wanaopinga huu muungano wa nchi 2 unaozaa nchi 2 ,nimekosa imani naye kabisa!!
 
Tayari muvi limeanza, kuna tetesi kua UKAWA wapo na media mda huu na kuna tetesi pia wako ktk mchakato wa kutaka kumwengua 6, kazi imeanza hebu Chabruma tupe uhakika zaidi
 
Last edited by a moderator:
Bunge hili ni kizungumkuti, Sita hana busara hata kidogo zaidi ya ubabe. ngoja tuone ila bado nitamkumbuka mzee Kificho kwa busara zake.!!!!
 
Back
Top Bottom