PowerWithin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2014
- 646
- 501
Wadau wa katiba mpya!
Hapana hata chembe ya ubishi kuwa Mh Sitta hatamudu kuongoza bunge la katiba!
1.Ni mbabe sana
2.Amelewa sifa zizizo na maana
3.Ana busara ndogo sana pale mjumbe anapokinzana nae
4.Ni rahisi sana kumezwa na itikadi anazoziamini
5.Si mtu anaekubali kutokukubaliana
6.Ana jazba sana
7.et al
Tuache maneno mengi........tusubiri tuone; if at all he will prove me wrong.......beyond doubt he wont be able!!!!!!!
cc: Chabruma, Skype et al
Hoja hii imeungwa mkono na Skype na kwa kuongezea tu ni kwamba kama hakutatumika busara nina uhakika kutatokea machafuko makubwa bungeni siku chache zijazo.
Haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaa........naomba kukoleza lile neno "MACHAFUKO MAKUBWA BUNGENI" yapo mbioni kuelekea bungeni tena yanaenda kwa spidi kubwa mithili ya mbio za usain bolt........busara zinahitajika sana pale.......viongozi wa aina ya sitta hawakuwa sahihi kabisa kupewa kiti kama kile ... .. ... . . . ..wajumbe wa bunge la katiba wamebugi mazimaaaaaaaaa . .. .............wasubiri wajijutie huko wenyewe ................ sina imani tena na hilo bunge!!!!!!

wakati mweshimiwa sita anapita kuwa mwwnyekiti nilofarahi sasa naanza kupata wasiwasi anabyosema wabunge pia wanaweza kubadilisha vifungu bya rasimu ya katiba. sasa jamani kina.walioba na wenzake walikua wanafanya nini kwa wannchi wakati bunge linauwezo wa kutengua vigungu. sita ndo atakaoliza wananchi akyamungu.
Hoja hii imeungwa mkono na Skype na kwa kuongezea tu ni kwamba kama hakutatumika busara nina uhakika kutatokea machafuko makubwa bungeni siku chache zijazo.
sijawahi kukupuuza kamwe
Bunge hili ni kizungumkuti, Sita hana busara hata kidogo zaidi ya ubabe. ngoja tuone ila bado nitamkumbuka mzee Kificho kwa busara zake.!!!!
Mkuu MaishaPesa ulisema upo maeneo ya kariakoo, naweza kupata earphone zenye mdundo mkubwa?
Kificho ni bora zaidi ya wote waliowahi kuongoza bunge