Elections 2010 Mh Slaa amkoromea Kikwete: Disco au Sera?

Mi nashangaa posts za kipuuzi tunapoteza muda kuzijibu.
 

...presha inapanda, inashuka...
 
Ngoda wzamekuchakachua mara hii? Au hujitambui? Mimi sijaelewa ulichoandika it sound like unsound to me
 
hivi si serikali ilipiga marufuku usafiri wa malori kubeba abiria.. sasa wao wanafanya nini????

Slaa hajafulia hata wala mfuko haujatoboka... Chadema inaendeshwa na watanzania wote sisi sote tunachangia hiki chama..

tofauti na CCM wanapochukua hela kutoka kwa matajiri na mafisadi kwa kufanyia kampeni zao

CCM imepigwa chali 2010
 
While you are busy dancing, the people are starving in the villages and Slaa (PhD) is busy taking the lion's share! Soma kura za maoni na usome pia na alama za nyakati.
 
sawa vuvuzela,utadhani huishi Tanzania?Umaski uliokithiri unaufurahiya na unapenda watu kufa kwa umaskini.Hatukubali hata kidogo.Kadi yangu ya kupiga kura nimeiweka tayari,Dr Slaa safiiiiiiiiiii
 

Kichunguu inaonyesha umechoka kusema kwa kiswahili sasa umeamua kuja na lugha za kigeni huenda Bi Ngoda akakuelewa.

kwa faida ya wengi, tunaomba tafsiri 🙂
 
While you are busy dancing, the people are starving in the villages and Slaa (PhD) is busy taking the lion's share! Soma kura za maoni na usome pia na alama za nyakati.

Theology, Divinity, bible knowledge, kipindi cha dini.
 
ujue hapa kuna vitu viwili mmoja antumia uwezo wake wa kutoa hoja na sera ambazo watu ndizo (wananchi) wanazifuata na mwingine anatumia umarufu wa msanii kuita mwananchi ......
Sasa jiulize hivi leo umarufu wa raisi umeshuka mpaka ukamuhitaji msanii kama diamond ambae seriously ametoa albamu moja na tumemjua hivi karibun 2007 ...kichekesho ni pale unaposhangaa huyu anaye tumia wasanii anapata watu sawasawa au pungufu ya yule asiye tumia...
obama alitangaza sera zake yeye mwenyewe ingawa alikuwa anaungwa mkono na wasanii wengi maharufu weusii na weupe lakini yeye alijua wamerekani hawana shida na wasanii bali ni sera zenye maono, mashiko na jinsi ya kuzitimiza hizo sera
Waswahili wanasema kizuri chajiuza kibaya......
 

hivi huko kwenye vyama vyenu kuna vyuo maalum vya uongo?
 
Kichunguu inaonyesha umechoka kusema kwa kiswahili sasa umeamua kuja na lugha za kigeni huenda Bi Ngoda akakuelewa.

kwa faida ya wengi, tunaomba tafsiri 🙂

Zawadi Ngonda is to support one of CCM's stupid.

They stole many of our resources, and now he

Grabbing power of our fear, we will punish them


 
Zawadi Ngonda is to support one of CCM's stupid.

They stole many of our resources, and now he

Grabbing power of our fear, we will punish them



Ujumbe wa leo, Kikwete asema:


"Akihutubia Kibaha Mjini jana, Rais Kikwete aliwambia wapinzani kuwa wameshindwa kuendesha siasa na sasa wanacheza mchezo mwingine ambao ni ‘sihasa'.

Alisisitiza kauli yake kwamba uchaguzi mkuu wa mwaka huu ni wa kisiasa na hauna uhusiano wowote na kuchagua kati ya Biblia na Korani, akiwataka wananchi wakatae wanasiasa wanaohubiri kuchaguana kwa misingi ya dini.

Aliwaeleza wananchi hao kuwa CCM ndicho chama chenye sera bora za kuwaletea maendeleo na kwamba vyama vingine vinaiga mambo ya chama hicho tawala, lakini hawajapatia."
 

Pole Zawadi kumbe hujui Tanzania kuwa Rais unahitaji tu a simple majority and not 50%+.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…