Tetesi: Mh Spika Ndugai ateleza ulimi kwenye ufunguzi wa Hotel

Tetesi: Mh Spika Ndugai ateleza ulimi kwenye ufunguzi wa Hotel

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Akiwa mwenye nguvu na imani kubwa yakile anakiongea alisisitiza viongozi kuwekeza ktk nchi yao huku akiwananga tume ya maadili na juhudi zakuwabana viongozi mafisadi pasipo kujuwa amakujuwa.
Kwamfano alisema yani sasa hivi mtu akifanya kitu kidogo tu tayari taarifa zimefika na unaanza kulizwa. Jaman mbona nchi jirani viongozi wamewekeza sana ktk nchi yao(hakutaja jina la nchi) lakini ukisikiliza kwa makini alikiwa akimanisha Kenya.
Kiukweli kabisa mimj naona Ndugai that day alikuwa ameteleza ulimi nakusahau sheria za time ya maadili ya viongozi pamoja na sheria zake ambazo zinawakataza viongoz w Umma kuwa na Kofi mbili zinazo weza leta mgongano wa masilahi kwa kiongozi.
Nadhani Mh Spika kwakujuwa ama kutokujuwa alisahau kuwa mateso ya wakenya ukiacha ukabila pia ni ufisadi ulio kithiri ktk taifa lao ambapo ndio chanzo cha migogoro yote hii.
Mh Ndugai wakati anaongea alisahau kuwa mgogoro mkubwa unakitesa chama cha mapinduzi ni wachache walio vusha mali za serikali kwenye madirisha ya ofisi zao ndio walitaka kuwa watawala na hata yeye kama hilo linge achiwa angeusikia Uspika kwenye gazeti la serikali hivyo hana budi kuwa role mode wakuiunga serikali kubana viongozi mafisadi.
Mh sipika alijionyesha jicho lake la tatu yeye ni nani akisisitiza siasa za ujamaa azina nafasi kwa taifa japo akisahau ccm ni mdau wa ujamaa na sera hiyo haijaondoka sema tu wamejiongeza na kuwa na mix Oconomiy.
Mh Ndugai alipaswa kusisitiza watu wwekeze ktk taifa lao lakini akisisitiza uwadilifu pasipo kukosoa miongozo na mamlaka nyingine indirectly.

Mwisho nivizuri viongozi wakitaifa mkamsaidia rais kufikia malengo na sio kuwa break kwa shughuli anazifanya.
Kidumu chama chama chamapinduzi.
 
Uandishi wako unaonyesha kuwa uliyasikia haya kwa masikio yako na wala haukusimuliwa na mtu. Sasa kwanini unaita Tetesi?
 
Tutaheshimiana tu. Hadi kufikia 2020 Sizonje atakuwa amechokwa hata na Bashite. Sio kwamba Ndugai ameteleza ulimi la hasha, amechoshwa na udikteta unaojificha kwenye mfumo wa ujamaa. Na wako wengi wasiofurahishwa na hili ndani ya CCM. Tambua kwamba kuna bomu linatengenezwa ndani ya chama chenu na soon linaenda kulipuka, believe or not.
 
Back
Top Bottom