Mh spika nywele zetu zikumbuke basi!

Mh spika nywele zetu zikumbuke basi!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
MAMA NIMEPENDA KASI YAKO YA KUSAFIRI KAMA MKULU NATUMAINI AMGONGAN VYUMBANI HUKO MNAKOKWENDA..ILA MZAZI ANAEKUANGALIA UKO JUU MWAMBIE ANGAALIE UPYA HIZO NYWELE KWA KWELI KWANZA NAKUPONGEZA MI NDIO UGONJWA WANGU HUO UNA NYWELE ORIGIN NZURI.ILA ZITUMIKE MZAZI..WAJULISHE WAFANYE KAZI SIO KUZIACHIA..MWANAMKE NYWELE PALE UNAPOKUWA NAZO ORIGIN KAMA MAKINDA MBAYA WASIZICHAKACHUE

2.JPG
 
ana majukumu mengi, namshauri azitoe tu ili zimpungizie muda wa kwenda saloon.
 
pdidy wa maimartha
 
ana majukumu mengi, namshauri azitoe tu ili zimpungizie muda wa kwenda saloon.

akifikia huko karibu

PDIDY HAIR CUTTING SALOON iko pale Mbagala
free of charge mama hii pongezi yangu kwa kuchaguliwa kuwa spika mananke ya kwanza tanzania bana
 
Mmmmmmmmmmmmmmh. Pididy
 
naomba nimtetee maza,
pdidy sio kweli kama mama anna hashughulikii nywele zake maana kwa umri huo ilipaswa vimvi mvi vionekane lkn kama uonavyo nywele yote ni nyeusi.
 
nna waswas pia na za sirini inawezejana amefuga msitu huko chini
 
nna waswas pia na za sirini inawezejana amefuga msitu huko chini

tena huko kuna file la mafisadi anaowatetea pale mjengoni.! Kama vile RA,EL na wengine wengí. Anyoe mafaíli yadondoke?
 
naomba nimtetee maza,
pdidy sio kweli kama mama anna hashughulikii nywele zake maana kwa umri huo ilipaswa vimvi mvi vionekane lkn kama uonavyo nywele yote ni nyeusi.
Khe... kaweka blaki sio?

Yani alivyoachie zimekua kama mswaki wa mti
 
Unajua mnyonge mnyongeni, haki zake mpeni. Kwa swala la nywele mimi naona yuko bomba tu. Mlitaka aweke minywele kama ya hao wenzake hapo juu? Binafsi sioni kama wamependeza kwa upande wa nywele, sijui hawajazispray! Huyu mama Anna ameenda umri kidogo, na umri ukienda mambo megine inabidi upunguze kwani ukizidisha utaonekana kituko! Hizo nywele ninavyoziona, siyo natural zina dawa! Pia ameweka black!

Hata kama tunachuki na mafisadi maana ndiyo wanaomuweka mjini, tusikosoe kila kitu. Ni mawazo yangu tu....
 
Back
Top Bottom