Mh. Sugu apata mtoto

Mh. Sugu apata mtoto

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,786
Reaction score
5,963
Mbunge wa MBEYA MJINI,MH.JOSEPH MBILINYI,jana amebarikiwa kupata mtoto wa kike alompa jina la SASHA-DESDERIA,na mama wa mtoto huyo anaitwa FAIZA..

View attachment 66551
 
katoto kazuri! hongera mh sugu na FAIZA!
 
Hingera sugu. Ila ubadilishe jina sasa, binti wakimuita bin sugu shule atalia sana aisee
 
Sugu kazaa na faiza foxy? Wonder shall never end!

Nimeamini Simba jike hata awe mkali vipi, atazaa tu.

Kumbe Faiza alikua haonekani hapa JF sababu ya kulea mimba??

Soon utasikia MAMA POROJO kazaa na J. J. Mnyika!!!
 
wanawake wengine hawapendi kuzaa.

Hata mie nilidhani atakuwa 'waridi lenye aibu' - shy rose'

I thought the mother should‘ve been shyrose bhanji? What happened,am i tht much in the jungle napitwa na the happenings?
 
Hajamuita m4c kama mwenzake wa Arusha.
 
Nimeamini Simba jike hata awe mkali vipi, atazaa tu.

Kumbe Faiza alikua haonekani hapa JF sababu ya kulea mimba??

Soon utasikia MAMA POROJO kazaa na J. J. Mnyika!!!
MUNGU aepushie mbali, kwa jinsi Mama Porojo alivyo mbishi atatuharibia jembe letu kwa mauzi ya kila siku. tehe tehe!
 
Pongezi za dhati kwa mh.sugu na mkewe,mwenyezi mungu awajalie malezi mazuri kwa mtoto na twamkaribisha sana bintiye ktk ulimwengu huu wenye kila kadhia.
 
Back
Top Bottom