Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima Comrade.
Bangi za mbeya au sumbawanga ! Chadam shit tumedhachoka na vioja vyenuMh Sugu..Joseph Mbilinyi Katika wimbo wa Galagasha anasema mwaka 2030 anagombea Urais na Kushinda... Anadai ' Am joking.....no no am serious'
Kila la heri kwa ndoto yake hiyo inaweza kutimia!
Form IV kuongoza nchi ya maprofesa?Mh Sugu..Joseph Mbilinyi Katika wimbo wa Galagasha anasema mwaka 2030 anagombea Urais na Kushinda... Anadai ' Am joking.....no no am serious'
Kila la heri kwa ndoto yake hiyo inaweza kutimia!
Kwa nini wanamchokonoa Lowasa?Mh Sugu..Joseph Mbilinyi Katika wimbo wa Galagasha anasema mwaka 2030 anagombea Urais na Kushinda... Anadai ' Am joking.....no no am serious'
Kila la heri kwa ndoto yake hiyo inaweza kutimia!
Hivi hadi wakati huo tutakuwa bado na utaratibu wa kumchagua mtu mmoja awe bosi wetu?Kinachohitajika ni maandalizi
Lowasa tayari ameshaanza kujipanga.Kivipi tena?
Watu kama Sugu huwa wanachukua nchi hivi hivi na tutabaki tunashangaa!Sugu aanze kupiga shule ata online distance! Walau awe holder wa Bachelor degree, Mambo ya Kuwa na Certificate ya Lugha na kupewa nchi si rukusa sasa